×

PSG Imevutiwa na Mpango wa Kuinasa Saini ya Marcus Rashford

KLABU ya Paris Saint- Germain ya nchini Ufaransa inaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford...

READ MORE

Live Updates: Tume ya Uchaguzi Kenya Yaendelea Kutangaza Matokeo Siku Tatu Baada ya Uchaguzi

 TUME ya uchaguzi nchini Kenya leo Agosti 12, 2022 inaendelea na mchakato wa kutangaza matokeo ya kinyang’anyiro cha urais...

READ MORE

Nafasi za Kazi 33 Minjingu Mines & Fertilizer Limited , Depot Account Officer

Opening/Vacancies at Minjingu Mines and Fertilizer Ltd Minjingu Mines and Fertilizer Ltd is a leading manufacturer of quality fertilizers in...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa July-29, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya...

READ MORE

Nchi 33 Zinatarajia Kushiriki Mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti Wakike  Bara la  Afrika

AKRIBANI nchi 33 zinatarajia kushiriki mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti wakike  bara la  Afrika (Taasisi ya Girl...

READ MORE

Mapigano Makali Yazuka Mashariki mwa Ukraine, Hofu Yatanda Kulipuka Kinu cha Nyuklia

  MAPIGANO makali yamezuka karibu na mji wa Pisky ulio Mashariki mwa nchi ya Ukraine, huku Urusi ikitaka kulitwaa eneo...

READ MORE

Alishtaki Gazeti Kwa Kutumia Picha Yake Kuelezea Wanawake Wanene

MWIGIZAJI mmoja wa Iraq amesema analishtaki Gazeti la Economist kwa kutumia picha yake kuelezea makala kuhusu wanawake wa Kiarabu kuwa...

READ MORE

Waziri Ndumbalo Atoa Maagizo kwa Rita Kuboresha Huduma Mikoani

WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk Damas Ndumbaro ameilekeza Rita kuimarisha huduma zake katika Mikoa iliyo nje ya...

READ MORE

Kenya: Mashirika ya Kiraia Yaelezea Wasiwasi Juu ya Habari za Uongo Kuhusu Matokeo

Wakati Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika kwa amani, shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International na...

READ MORE

Uchaguzi Kenya: Mgombea Urais Kupitia Azimio, Raila Odinga Afanikiwa Kumpita William Ruto

Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa Saa...

READ MORE

Ajali Yaua Dereva na Abiria Wake Watano, Iguguno Ushamba Wilayani Mkalama, Singida

  WATU sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum, kuacha njia na kupinduka katika eneo...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Lupita Nyong’o Asherehekea Ushindi wa Baba Yake

MWIGIZAJI aliyeshinda tuzo ya Oscar Lupita Nyong’o  leo Agosti 11, 2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na...

READ MORE

Tundaman Aomba Radhi Kwa Kile Alichokifanya Kwenye Sherehe za Simba Day

KUFUATIA shutma nyingi na malalamiko dhidi yake kwa kile alichokifanya wakati akitumbuiza kwenye kilele cha tamasha la Simba Day, leo...

READ MORE

Mitambo Kinyerezi II Yapata Hitilafu, Tanesco Yatoa Taarifa Rasmi kwa Umma

  SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Limewataarifu wateja wake kuhusu kukosekana kwa huduma ya umeme baadhi ya Mikoa nchini kuanzia...

READ MORE

Wafanyakazi wa Kike Walazimishwa Kusalia Majumbani Mwao, Afghanistan

NI mwaka sasa kuanzia kundi kubwa la Wapashtun, wenye imani kali ya Kiislamu (Taliban) kuchukua nchi ya Afghanistan.   Wakati...

READ MORE

Lupita Nyon’go Awashukuru Wakenya kwa Kumchagua Baba Yake

MUIGIZAJI wakike Lupita Nyon’go mwenye tuzo ya Oscar, amempongeza baba yake na wapiga kura wa mji wa Kisumu kwa kumchagua...

READ MORE

Kirusi Kipya Chawapata Watu 35 China Mashariki, Watafiti Wathibitisha Athari Zake

WANASAYANSI wanafuatilia kirusi kipya kilicho athiri watu wengi mashariki mwa China, Novel Langya henipavirus (LayV) kimepatikana kwa wagonjwa 35 katika...

READ MORE

Okwa, Chama Wanogesha Kombinesheni ya Zoran Simba, Wawatambia Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba Mserbia, Zoran Maki amefurahishwa na muunganiko wa viungo wake wawili Mzambia Clatous Chama na Mghana Augustine...

READ MORE

Trump Awaka Kupekuliwa na FBI, Adai ni Njama za Kumrudisha Nyuma Kisiasa

FBI ilipekua makazi ya Donald Trump ya Mar-a-Lago kama sehemu ya uchunguzi wa kama alichukua nyaraka za siri kutoka Ikulu...

READ MORE

Usiku wa Raha za Pwani Waja, Khadija Yusuf, Kivurande, Msagasumu, Misambano Ndani

  NGOMA inogile: Usiku wa Raha za Pwani waja, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia burudani ya aina yake iliyoandaliwa na...

READ MORE