×

TAMWA Yatoa Taarifa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto wa Kike Nchini Tanzania

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetoa taarifa kwa Umma juu ya ripoti ya ukatili na unyanyasaji wa...

READ MORE

Kisa Mbeya Kwanza, Kocha Yanga Awaonya Wachezaji Wake Wasiwachukulie Poa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa amewaambia wachezaji wake wasiwachukulie poa Mbeya Kwanza ili yasije yakajitokeza kama yaliyotokea...

READ MORE

Mobetto Athibitisha Kutolewa Posa ya Shilingi Milioni 10

HAMISA Hassan Mobetto au Misa; ni mwanamitindo, msanii wa muziki na mjasiriamali maarufu Bongo ambaye anafunguka kuwa, aliwahi kutolewa posa...

READ MORE

Watumishi wa Sekta Binafsi Nao Kucheka Kabla ya Julai – Mwenyekiti TUGHE

MWENYEKITI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Taifa bwana Joel Kaminyoge amesema watumishi wa sekta binafsi...

READ MORE

Muliro Azungumzia Tukio la Mwanamke Mkazi wa Sinza Aliyejeruhiwa kwa Risasi

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha tukio la Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa...

READ MORE

Barbara wa Simba na Haji Manara Waitwa Kamati ya Maadili TFF Kujieleza Kesho

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka...

READ MORE

Nape Nnauye Awasilisha Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Wizara Bungeni -Video

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwasilisha Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Wizara hiyo...

READ MORE

Rihanna Ajifungua Mtoto wa Kiume Los Angeles, Chris Brown Ampongeza – Video

Hatimaye Rihanna na mpenzi wake Asap Rocky(33)  Mei 13, 2022 wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume. Rihanna ambaye...

READ MORE

Manara Aanika Ukweli – “Fei Toto Bado Yupo Sana, Morrison Mali ya Simba” – Video

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara leo Mei 19, 2022 ameendelea na ziara yake maluum Wilayani Njombe, ambapo amealikwa...

READ MORE

Gerald Mdamu Mchezaji wa Polisi Tanzania Afunguka Kurudi Uwanjani Msimu Ujao

  GERALD Mathias Mdamu, ni mchezaji wa Polisi Tanzania ambaye msimu huu hajafanikiwa kucheza kwenye timu hiyo kutokana na ajali...

READ MORE

Simba Yatua Kwa Beki la Kazi Raia wa Cameroon Amecheza LA Galaxy ya Marekani

  KLABU ya Simba ipo katika mazungumzo na beki la kazi raia wa Cameroon, Jean Jospin Engola kwa ajili ya...

READ MORE

TECNO Phantom X na CAMON 19 Pro Kunyakuwa Tuzo ya Kifahari ya iF Design Award 2022

Hongkong, 13 Aprili 2022 – Hivi majuzi, washindi wa Tuzo maarufu duniani ya iF Design wametangazwa. TECNO ilishinda tuzo ya...

READ MORE

Vikosi vya Urusi Vyadaiwa Kuharibu Kabisa Eneo la Viwanda la Donbas, Ukraine

  RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema usiku wa kuamkia leo Mei 20, 2021 amesema kuwa vikosi vya Urusi vimeharibu...

READ MORE

Nafasi ya Kazi International Commercial Bank (ICB), Systems Administrator

EXCELLENT CAREER OPPORTUNITIES International Commercial Bank (ICB) Limited requires young and dynamic individual for the following vacant position in its...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Mei 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Samia Asema Serikali Imeweka Mkazo Kwenye Sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi...

READ MORE

Waziri Mkuu: Timu ya Mawaziri Wanne Inahusika na Migogoro Mikubwa Tu

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu ya mawaziri wanane kutoka wizara shiriki inashughulikia migogoro mikubwa tu ya ardhi ambayo hulazimu...

READ MORE

Rais Samia Awataka Wananchi wa Tabora Kulinda Miundombinu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo ziarani mkoani Tabora amewaasa wananchi wa mkoa huo...

READ MORE

Simba Yamfuata Rasmi Luís Miquissone, Meneja Wake Athibitisha

BAADA ya kuwepo kwa tetesi kwamba Al Ahly ina mpango wa kumtoa kwa mkopo winga wake, Luís Miquissone, inaelezwa kwamba,...

READ MORE