×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Aprili 7, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 7, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Moto Wateketeza Eneo la Kuhifadhia Mafuta Ghafi Kigamboni, Dar – Video

MOTO uliolipuka ghafla Jumatano Aprili 6, 2022 umeteketeza eneo la kuhifadhia mafuta ghafi linalomilikiwa na Mamlaka ya Bomba la Mafuta...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini za Wakwepa Kodi za Maegesho

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unapenda kuwataarifu wananchi kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

DC Jokate Azindua Tawi Jipya la Tcb, Atoa Mwelekeo wa Serikali

  Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) imeongeza uwepo wake jijini Dar es Salaam kwa kufungua tawi la 12 katika...

READ MORE

Yanga Haishikiki Ligi Kuu Yafikisha Pointi 51, Yaipiga Azam 2-1 Mayele ‘Atetema’

DAKIKA 90 zimemalizika katika Uwanja wa Azam Complex kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Azam.  ...

READ MORE

Chama Atangazwa Mchezaji Bora wa Mwezi Machi Awabwaga Mayele na Kahola

  Kiungo wa klabu ya Simba Sc, Clatous Chota Chama ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi katika NBC Premier...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro Afanya Uhamisho wa Makamanda

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa...

READ MORE

Rais Samia: Serikali Kumwaga Magari ya Wagonjwa 258 Nchi Nzima

RAIS  Samia Suluhu Hassan amesema magari ya wagonjwa 233 ya kawaida yanatarajiwa kumwagwa Tanzania nzima, huku mengine 25 zenye hadhi...

READ MORE

Sportpesa Bet Bonanza Kutoa Kitita cha Shilingi Milioni 15.8 Wiki Ijayo

WASHINDI watatu, Shaaban Mwita wa Mgusu, Geita, Abdalla Said Ali wa Tandahimba, Mtwara na David Jonas wa Magu, Mwanza, leo...

READ MORE

Gwiji wa Soka Matt Le Tissier ajiuzulu Ubalozi Kisa Vita ya Ukraine na Urusi

GWIJI wa Soka aliyewahi kuwika na klabu ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza Matt Le Tissier amejiuzulu nafasi...

READ MORE

Video: Taharuki! Bei Ya Mafuta Kupanda, Waziri Makamba Atoa Tamko – “Hakuna Uhaba Wa Mafuta”

WAZIRI wa Nishati January Makamba amesema kwamba kwa sasa Tanzania hakuna uhaba wa Mafuta licha ya bei kupanda ambayo inachangiwa...

READ MORE

Simba Queens Yapiga Hesabu Kali Mzunguko wa Pili, Yapanga Kumaliza Kazi Mapema

MENEJA wa Simba Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite (SWPL), Selemani Makanya, amesema baada ya kumaliza mzunguko...

READ MORE

Waamuzi Nane Kutoka Afrika Kuchezesha Mechi za Kombe la Dunia Nchini Qatar

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza orodha ya waamuzi watakaochezesha mechi za michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza Novemba...

READ MORE

Sasa Rasmi Nato Yaingilia Vita ya Ukraine, Yatuma Zana Angamizi za Kivita

  UMOJA wa kujihami wa nchi za magharibi NATO umeingilia vita kati ya Ukraine na Urusi kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaopandisha Bei za Bidhaa Kiholela

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua...

READ MORE

Mbeya City Waitaka Nafasi ya Azam, Waapa Kupambana Kufa na Kupona

OFISA Habari wa Mbeya City Shaha Mjanja, amesema mipango yao kwa sasa ni kuwa katika nafasi tatu za juu katika...

READ MORE

Azam Fc V Yanga Leo Uwanja wa Azam Complex, Acha Inyeshe Tuone Panapovuja

MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam...

READ MORE

Mchungaji Aanguka na Kufa Kanisani Wakati Akihubiri Kuhusu Wachawi

Tukio la kusikitisha limetokea katika Kanisa la Evangelical Winning All (ECWA) nchini Nigeria baada ya shemasi kuanguka ghafla na kufariki...

READ MORE

Sakata la Morrison Kuzuiwa Kuingia Nchini Afrika Kusini, Barbara Atamka Neno

TAARIFA zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo...

READ MORE

Mmemsikia Mugalu Lakini Huko Simba, Atoa Kauli Ya Kibabe Baada ya Kufunga Mabao Mawili

MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu amesema kuwa mabao ambayo amefunga katika mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho dhidi ya USGM...

READ MORE