×

Waziri Kombo na Prof. Kabudi Wakabidhi Bendera ya Taifa kwa Taifa Stars Cairo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Athari Kwenye Jengo La Ofisi Ya Kituo Cha Forodha Kwa Pamoja Kasumulu

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua Jengo la Ofisi ya Kituo cha Forodha kwa Pamoja-Kasumulu ambacho...

READ MORE

Usiku wa Moto Barani Ulaya: Mechi Nzito Leo Kusaka Ushindi

Ni siku nyingine ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania...

READ MORE

Je, Unajua Tufaha (Apple) Linaweza Kulinda Moyo Wako? Soma Faida Zake Hapa

Kula tufaha (Apple) moja kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya ya moyo kwa kutanua mishipa ya damu, kupunguza uvimbe, kulinda...

READ MORE

Hamisa Mobetto, Nana Doll na Queen Masanja Wampongeza Mama Chanja

Mrembo na mwanamitandao Hamisa Mobetto ameonesha kufurahishwa kwake na mafanikio yanayoendelea kupatikana na Mama Chanja, kufuatia kutimia kwa ndoto yake...

READ MORE

Sweet Holiday Chase Kumwaga Pesa Meridianbet Msimu Huu wa Sikukuu

Msimu wa sikukuu umepata sura mpya baada ya Meridianbet kufungua pazia la Sweet Holiday Chase, kampeni inayosikika kama filamu ya...

READ MORE

Prof Shemdoe: Wakuu wa Shule Msiwe Kikwazo Cha Utendaji Kazi wa Walimu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka...

READ MORE

Airtel Africa na SpaceX Waingia ubia wa Kimkakati Kuunganisha Satelaiti kwa Simu (Starlink Direct to Cell) Barani Afrika

Huduma hii inaleta mawasiliano kwa mara ya kwanza barani Afrika kutoka kwenye setilaiti hadi kwenye simu za kiganjani kwa mamilioni...

READ MORE

Waziri Sangu Aagiza Hatua Kali kwa Waajiri Wanaokwepa Kuwasilisha Michango NSSF*

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewaagiza viongozi wa Mfuko wa...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wafadhiliwa Shahada ya Uzamili na ALAF

Jumatano 17 Desemba 2025: ALAF Limited leo imetangaza ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watatu wanaofanya Programu ya Shahada ya Uzamili...

READ MORE

Serikali Yaahidi Mazungumzo na Marekani Kufuatia Vikwazo vya Viza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Kwa Nini Mazoezi ya Kila Siku Ni Muhimu kwa Afya, Mwongozo Kamili Upo Hapa

Mazoezi ya mwili ni nguzo muhimu ya afya njema kwa binadamu. Licha ya watu wengi kuyachukulia kama jambo la hiari,...

READ MORE

Airtel Yaja na Airtel VoLTE, Wateja Sasa Kuperuzi na Kuongea ‘Live Bila Chenga’

Dar es Salaam, December 17, 2025: KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi teknolojia mpya ya Voice over LTE (Airtel...

READ MORE

Meridianbet Yasimama na Jamii Kuelekea Sikukuu Ya Mwisho Wa Mwaka

Katika kuendeleza moyo wa mshikamano na upendo wa kijamii unaoambatana na msimu wa Sikukuu ya Krismasi, Meridianbet, kampuni inayoongoza katika...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Atoa Amri Kali Tunduma, Akagua Uharibifu wa Miundombinu – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaendelea Kugawa Makapu Ya Zawadi Kwa Wateja Wao

Meneja wa Mauzo Mwandamizi wa  Vodacom Tanzania kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Nyanda (wa Kwanza kushoto), Meneja...

READ MORE

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi, Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini Kuendelea

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imeamua kuendelea na Shauri la Uchaguzi Namba 28949 la Mwaka 2025, baada...

READ MORE

Je Bingwa Mtetezi Kuangukia Pua Msimu Huu?

Je msimu huu Liverpool anaweza kutetea taji lake la EPL kwa matokeo ambayo anayapata hivi karibuni?. Pesa nyingi imetumika kufanya...

READ MORE

TRA Yakamata Madumu 23,755 Ya Mafuta Ya Kupikia Ya Magendo Dar – Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo imekamata Shehena kubwa ya Mafuta ya kupikia ya Magendo, jumla ya Madumu 23,755, yaliyokuwa...

READ MORE

Video: Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Mizani Ya Magari Mpemba, Songwe

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17,2025 amekagua uharibifu uliofanyika katika mizani ya magari iliyopo Mpemba, mkoani Songwe, uharibifu...

READ MORE