×

Rais Samia Amfuta Kazi Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa MSD, Afanya Uteuzi Mwingine

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemfuta kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Chico Majanga Tena, Aumia Akiwa Mazoezini

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali...

READ MORE

Meli ya Kivita ya Urusi Moskva Imezama, Wizara ya Ulinzi ya Urusi Yadhibitisha

Meli ya Urusi ya kusafirisha makombora imezama katika “bahari yenye dhoruba” wakati ikivutwa baada ya kutokea mlipuko wa risasi ulioathiri...

READ MORE

Kisa Simba… Fei Toto, Aucho Wawekwa Chini ya Uangalizi Yanga, Wameanza Mazoezi

JOPO la madaktari wa Yanga chini ya Mtunisia, Youssef Ammar, umewaruhusu viungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Khalid Aucho...

READ MORE

Waziri Mkuu Ataka Vyombo vya Habari Vifanye Kazi kwa Kuzingatia Weledi na Maadili

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ili kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi vyombo vya habari havina budi kufanya kazi kwa kuzingatia...

READ MORE

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara Anaoa Mke wa Pili Dar, Mastaa Wampongeza

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa anaoa mke wa pili Aprili 14, 2022. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE

Simba Yaipa Yanga Siku Tano Tu Kuandaa Silaha za Kuwaangamiza Ligi Kuu

UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 15, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 15, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mayele Ataja Kinachompa Kiburi Kwa Simba “Hawana Presha ya Ubingwa”

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema katika mchezo ujao dhidi ya Simba, wataingia uwanjani wakiwa hawana presha ya ubingwa...

READ MORE

Ukimuita Mwenzio Mchawi Njombe Unakwenda Jela Miaka Saba

POLISI mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa...

READ MORE

Winga wa Orlando Amtaja Mchawi wa Simba “Wingi wa Mashabiki Kwa Mkapa”

WINGA wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Gabadinho Mhango, ametaja sababu kubwa inayowafanya Simba kupata matokeo mazuri katika michezo...

READ MORE

Kisa Orlando… Simba Yawaficha Morrison, Sakho Sehemu Tulivu Zaidi Dar

KATIKA kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Orlando Pirates, uongozi wa Simba umepanga kuwahamisha kambi...

READ MORE

Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk Atoa Kitita Kizito Kuinunua Twitter

BILIONEA namba moja Duniani Elon Musk ametoa ofa ya Dola Bilioni 43.4 kununua mtandao wa kijamii wa Twitter. Kwa mujibu...

READ MORE

Video: Kwa Uchungu Mume wa Maunda Zorro Aeleza – “Tulipanga Kubariki Ndoa Yetu”

Mume wa Maunda Zorro, amesimulia jinsi alivyoenda kuutambua mwili wa mkewe hospitali baada ya kupata ajali. Anaeleza kwamba ni ngumu...

READ MORE

Mfalme Wa Morocco Aridhia Kufunguliwa Mskiti wa Kisasa

    Mfalme wa Morocco Mtukufu Muhammed wa sita ameruhusu kufanyika ufunguzi mdogo wa msikiti wa Mohamed wa sita na...

READ MORE

Mshindi wa Bet Bonanza Aelezea Furaha Yake ya Ushindi Baada ya Kushinda Milioni 15

MSHINDI wa droo ya mwisho na kubwa ya Bet Bonanza ya Sportpesa, George Jafari Kimaro, leo asubuhi amefika katika ofisi...

READ MORE

Kabla ya Kifo Chake Maunda Zorro Alikanusha Kutumia Madawa ya Kulevya-Video

MAREHEMU Maunda Zorro kabla ya kifo chake alifanya mahojiano marefu na Global Radio pamoja na Global TV ambapo alielezea safari...

READ MORE

Kariakoo Yatengewa Bilioni 10 Kufanyiwa Ukarabati na Kujengwa Ghorofa Jipya

KATIKA Mwaka wa Fedha 2022/23, Shirika la Masoko ya Kariakoo limetengewa Shilingi Bilioni 10.00 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati...

READ MORE

Sikukuu ya Pasaka: Kanisa la VCCT Lililopo Mbezi Dar, Limeandaa Tamasha Kubwa

Kuelekea Sikukuu ya Pasaka, Kanisa la VCCT lililopo Mbezi jijini Dar es Salaam, limeandaa tamasha kubwa la Easter Production 2022...

READ MORE