×

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Kwenye Kituo cha Polisi Kikatiti Arusha

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Awasili KIA Kukagua Madhara ya Vurugu za Arusha

WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo atakagua uharibifu uliosababishwa na...

READ MORE

Waziri Ulega Akutana na RC Makalla Kujadili Kasi ya Miradi ya Miundombinu Jijini Arusha

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla katika Ofisi...

READ MORE

Meridianbet Wafungua Njia ya Milionea kwa Dau Dogo Tu!

Je unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?.  Tandika jamvi lako sasa na unanze safari...

READ MORE

PUMA Energy Tanzania Yapata Tuzo Mbili Kwenye Consumer Choice Awards

Dar es Salaam, 30 Novemba 2025:  Dhamira ya PUMA Energy Tanzania ya kutoa ubora, ubunifu na huduma yenye kujikita kwa...

READ MORE

Exim Inajivunia Kuwa Sehemu Ya Msimu Wa Nne Wa Korosho

Exim inajivunia kuwa sehemu ya msimu wa nne wa Korosho Marathon mkoani Mtwara, kama mdhamini mkuu wa mbio za Kilomita...

READ MORE

Kundi D Laendelea Kutoa Upinzani Mkubwa, Simba Kupimana Ubavu na Stade Malien

Wababe wa Angola, Petro Atletico, wamelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Esperance de Tunis ya Tunisia katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Afrika Kusini Yalaani Hatua ya Trump Kutaka Kuiweka Kando Kutoka G20 2026

Afrika Kusini imelaani nia ya rais wa Marekani Donald Trump ya kuizuia nchi hiyo kuhudhuria Mkutano wa Kundi la 20...

READ MORE

Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar, Wagombea wa Umeya na Uenyekiti Wateuliwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Exim, Simba Developers Waingia Makubaliano Kurahisisha Umiliki wa Nyumba Tanzania

Benki ya Exim Tanzania na Simba Developers Limited wametia sahihi ya makubaliano ya kimkakati yanayolenga kurahisisha upatikanaji wa makazi kwa...

READ MORE

Benki Ya Absa Yakabidhi Msaada Wa Mahitaji Muhimu Katika Kituo Cha Kulelea Watoto Yatima

Mahitaji hayo ni pamoja na  Vyakula, Sabuni, Vinywaji Na Cherehani Kwa ajili ya  Watoto Yatima Na Wanaoishi Katika Mazingira Magumu...

READ MORE

Shinda Simu Mpya Kabisa ya Samsung Galaxy A26 na Meridianbet

Je, uko tayari kwa burudani na zawadi kemkem? Meridianbet inakuletea sababu ya kubashiri kupitia promosheni kabambe. Watumiaji wote walio jisajili...

READ MORE

TPSF Kuongoza Uwekezaji Utakaozalisha Maelfu ya Ajira

Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania TPSF limepanga kuhamasisha uwekezaji kwa kiwango kikubwa ili kupanua biashara zao kwa lengo la kuongeza...

READ MORE

Waziri Kikwete Asisitiza Uweledi na Uwajibikaji kwa Wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameielekeza Bodi ya Ushauri...

READ MORE

Juhudi za Kimataifa Hazitasimama Sudan Hadi Vita Iishe

Licha ya jeshi lililoko Port Sudan kusisitiza kuendeleza vita ya Sudan, juhudi za kimataifa zinaendelea kusukuma mbele mipango ya kumaliza...

READ MORE

Mfahamu Azzan Zungu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mussa Azzan Zungu ndiye Spika mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka 2025 mpaka...

READ MORE

Hakutekwa! Polisi Wathibitisha Winfrida Malembeka Kukamatwa kwa Tuhuma za Uchochezi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limesema mwanamke anayesambazwa mitandaoni akidaiwa kutekwa na watu wanaodaiwa kujitambulisha kama askari wa...

READ MORE

Nafasi 14 za Ajira Zafunguliwa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Mwisho wa maombi Disemba 03

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na nne (14) za ajira baada...

READ MORE

Kizazi cha Gen-Z Chatajwa na Kagame Kama Changamoto Mpya kwa Serikali Afrika

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema kuwa Bara la Afrika linaweza kushuhudia wimbi jipya la mapinduzi endapo viongozi wake hawatashughulikia...

READ MORE