×

Morrison: Nitawavuruga Zaidi Waswana

STAA wa Simba, Bernard Morrison amesema kuwa mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Jwaneng Galaxy atacheza kwa juhudi zaidi...

READ MORE

Nandy & Sho Madjozi – Kunjani (Official Audio)

 Msanii Wa Bongo Fleva,Nandy Ft Sho Madjozi Ameachia Wimbo Wake Mpya-Kunjani.

READ MORE

Senzo Mbatha Amvulia Kofia Nabi

KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa amesema kuwa kila siku anazidi kufurahishwa na utendaji kazi na...

READ MORE

Mimba ya Malkia Karen Bado Utata Mtupu!

Siyo stori kwamba, mrembo kunako Bongo Fleva, Malkia Karen ni mjamzito wa miezi mingi akikaribia kabisa kujifungua baada ya wadukuzi...

READ MORE

Wenger: Salah Ndiye Bora Duniani

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ndiye bora duniani kwa sasa.  ...

READ MORE

Mtanzania Azunguka Afrika Kwa Baiskeli Akitangaza Lugha Ya Kiswahili-Video

Global TV imefanya mahojiano na mtanzania anayezunguka na baiskeli katika nchi kadhaa Afrika akihamasisha watu kutumia lugha ya Kiswahili. 

READ MORE

Solskjaer: Msimponde Ronaldo Mtaumbuka

KOCHA wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kama kuna mtu anataka kumponda Cristiano Ronaldo basi aangalie mechi kati ya...

READ MORE

Kampuni Zamtema Tiwa Savage

MUIGIZAJI  wa Nigeria ambaye anaishi Marekani Gerogina Onuoha,  amesema video chafu ya msanii  Tiwa Savage kuvuja kwenye mitandao imepelekea msanii...

READ MORE

Meja Kunta Afunguka Matambiko Kwenye Muziki, “Ni Muhimu Lazima Tufanye”-Video

GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki Meja Kunta kuhusiana na kazi zake za muziki baada ya kukaa kimya kwa muda...

READ MORE

Jenerali Wa Jeshi Aliyeiongoza Marekani Kumng’oa Saddam Hussein-Video

Colin Powell amefariki dunia Oktoba 18, 2021 akiwa na umri wa miaka 84 kwa kile ambacho familia yake imeeleza kuwa...

READ MORE

Mechi Leo, Biashara United Hawajasafiri Mpaka Sasa

KLABU ya Soka ya Biashara United Mara imeshindwa kusafiri kuelekea nchini Libya kutokana na kukosekana kwa vibali vya anga vya...

READ MORE

Meya Jiji La Arusha Kujenga Makazi Ya Kisasa Ya Watoto Wa Mtaani-Video

Mstahiki Meya wa jiji la Arusha, Majimiliani Iranqe, ameanza kutekeleza adhima yake ya kuwajengea makazi Watoto wa Mtaani waliopo katika...

READ MORE

Kijana Aliyefanana Na Sokwe Ageuka Staa Duniani-Video

WASWAHILI wanasema Mungu sio hapangiwi….! Huu ni miongoni mwa misemo maarufu ya kiswahili inayotumiwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa jambo ambalo...

READ MORE

Ni Aibu Shule ya Msingi Ntanganyika Kukaa Chini

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti amesikitishwa na kitendo cha Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kutokamilisha uwekaji madawati katika...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Jumamosi Oktoba 23, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 23, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Majaliwa Asisitiza Mifumo ya Usalama Kupitia TEHAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kagera Sugar Yaichapa Mtibwa Sugar

BAO pekee la mshambuliaji Dickson Mhilu dakika ya 39 limewapa wenyeji Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar...

READ MORE

Mama Achinja Watoto Wake Wawili – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ameuwa watoto wake wawili kwa...

READ MORE