×

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kagera Sugar Yaichapa Mtibwa Sugar

BAO pekee la mshambuliaji Dickson Mhilu dakika ya 39 limewapa wenyeji Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar...

READ MORE

Mama Achinja Watoto Wake Wawili – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ameuwa watoto wake wawili kwa...

READ MORE

Twiga Stars Kupindua Meza Kwa Namibia

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime, amesema walifanya makosa kwenye mchezo uliopita wakiwa nyumbani na...

READ MORE

Kinga Ya Mabusha Na Matende Kutolewa Dsm-Video

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la utoaji kinga, tiba...

READ MORE

Njombe: Wanandoa Wauawa kwa Kukatwa Mapanga – Video

ANES Haule (45) na mume wake Menluph Ngailo (45) wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao huko kijiji cha...

READ MORE

Bosi Simba Afunguka Kasi ya Yanga

MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia wasiogope kasi ya wapinzani wao Yanga huku...

READ MORE

Waziri Mkuu Aipongeza TCRA kwa Kusimamia Masafa

Serikali imeitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza juhudi katika usimamizi wa Rasilimali za Mawasiliano nchini, zikiwemo namba za mawasiliano...

READ MORE

Mchungaji Aliyekataza Waumini Kutumia ARV’s Wakafariki Aomba Radhi

MHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Emmanuel Mlundilwa amesema kukosa uelewa wa...

READ MORE

Makalla Awaonya Machinga Barabara ya Airport – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaoendelea kufanya Biashara pembezoni mwa Barabara...

READ MORE

Maajabu! Binadamu Apandikizwa Figo ya Nguruwe

WANASAYANSI kutoka Marekani wamefanikiwa majaribio ya kupandikiza Figo ya Nguruwe kwa Binadamu na kugundua kuwa kiungo hicho kinaweza fanya kazi...

READ MORE

Rais Ndayishimiye Azindua Kiwanda cha Mbolea Dodoma

RAIS wa Burundi, Evarist Ndayishimiye, leo Oktoba 22, amewasili nchini na kupokelewa jijini Dodoma… 

READ MORE

Milionea Mdogo Zaidi Akamatwa

KIJANA milionea maarufu nchini Afrika Kusini, Sandile Shezi mwenye umri wa miaka 23 ambaye anajiita ‘Milionea Mwenye Umri Mdogo Zaidi’...

READ MORE

Utata Mkubwa Tuzo za TFF, Figisu Zatajwa

USIKU wa jana Alhamisi, Oktoba 21, 2021 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitoa tuzo kwa wachezaji, wadau wa soka, makocha,...

READ MORE

Kigogo Aliyeomba Kukiri Kosa Akamzike Baba’ke, Mapya Yaibuka

UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Mwanasheria wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege umesema bado hawajafikia...

READ MORE

Kesi ya Sabaya Yakwama Kortini

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imeahirishwa...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

TANZANIA imesema itaedelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu, katika mazungumzo...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukamatwa na Meno ya Tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. Lipande Said Simwiche (62) na 2. Juma Pius (32) wote...

READ MORE

Rais Samia Anahutubia Mbele Ya Rais Wa Burundi, Evarist Ndayishimiye-Video

RAIS wa Burundi, Evarist Ndayishimiye, leo Oktoba 22, amewasili nchini na kupokelewa jijini Dodoma. 

READ MORE

Big Sean Apiga Picha na Nyuki 65,000

Rapa Big Sean kutoka nchini Marekani ameshea picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na kundi la nyuki wakati ana shoot...

READ MORE