×

Airtel Africa na SpaceX Waingia ubia wa Kimkakati Kuunganisha Satelaiti kwa Simu (Starlink Direct to Cell) Barani Afrika

Huduma hii inaleta mawasiliano kwa mara ya kwanza barani Afrika kutoka kwenye setilaiti hadi kwenye simu za kiganjani kwa mamilioni...

READ MORE

Waziri Sangu Aagiza Hatua Kali kwa Waajiri Wanaokwepa Kuwasilisha Michango NSSF*

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewaagiza viongozi wa Mfuko wa...

READ MORE

Wanafunzi Watatu Wafadhiliwa Shahada ya Uzamili na ALAF

Jumatano 17 Desemba 2025: ALAF Limited leo imetangaza ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watatu wanaofanya Programu ya Shahada ya Uzamili...

READ MORE

Serikali Yaahidi Mazungumzo na Marekani Kufuatia Vikwazo vya Viza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Kwa Nini Mazoezi ya Kila Siku Ni Muhimu kwa Afya, Mwongozo Kamili Upo Hapa

Mazoezi ya mwili ni nguzo muhimu ya afya njema kwa binadamu. Licha ya watu wengi kuyachukulia kama jambo la hiari,...

READ MORE

Airtel Yaja na Airtel VoLTE, Wateja Sasa Kuperuzi na Kuongea ‘Live Bila Chenga’

Dar es Salaam, December 17, 2025: KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi teknolojia mpya ya Voice over LTE (Airtel...

READ MORE

Meridianbet Yasimama na Jamii Kuelekea Sikukuu Ya Mwisho Wa Mwaka

Katika kuendeleza moyo wa mshikamano na upendo wa kijamii unaoambatana na msimu wa Sikukuu ya Krismasi, Meridianbet, kampuni inayoongoza katika...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Atoa Amri Kali Tunduma, Akagua Uharibifu wa Miundombinu – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaendelea Kugawa Makapu Ya Zawadi Kwa Wateja Wao

Meneja wa Mauzo Mwandamizi wa  Vodacom Tanzania kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Nyanda (wa Kwanza kushoto), Meneja...

READ MORE

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi, Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini Kuendelea

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imeamua kuendelea na Shauri la Uchaguzi Namba 28949 la Mwaka 2025, baada...

READ MORE

Je Bingwa Mtetezi Kuangukia Pua Msimu Huu?

Je msimu huu Liverpool anaweza kutetea taji lake la EPL kwa matokeo ambayo anayapata hivi karibuni?. Pesa nyingi imetumika kufanya...

READ MORE

TRA Yakamata Madumu 23,755 Ya Mafuta Ya Kupikia Ya Magendo Dar – Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo imekamata Shehena kubwa ya Mafuta ya kupikia ya Magendo, jumla ya Madumu 23,755, yaliyokuwa...

READ MORE

Video: Dkt. Mwigulu Akagua Uharibifu Mizani Ya Magari Mpemba, Songwe

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17,2025 amekagua uharibifu uliofanyika katika mizani ya magari iliyopo Mpemba, mkoani Songwe, uharibifu...

READ MORE

Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000

Mchezaji wa klabu ya Singida Big Stars (Singida BS), Khalid Aucho, amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh....

READ MORE

Nmb Yaja na Maboresho ya Huduma Kwa Makandarasi wa Zanzibar

Katika kuendelea kuimarisha sekta ya ujenzi visiwani Zanzibar, Benki ya NMB imezindua maboresho ya masuluhisho mbalimbali maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Aongoza Mazishi ya Jenista Mhagama Ruanda – Mbinga (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ashiriki Mazishi Ya Jenista Mhagama, Atoa Maagizo Kwa Mkandarasi Wa Barabara Ya Kitai–Ruanda (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Desemba 16, 2025 ameshiriki katika Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho,...

READ MORE

Sowah na Kante Wafungiwa Michezo 5, Mwamuzi Mwinyimkuu Apewa Adhabu

BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania imetangaza adhabu kali kwa wachezaji wa klabu ya Simba SC, Jonathan Sowah na Allasane...

READ MORE

Fursa ya Ajira – Wauzaji wa Maduka, Mikocheni, Masaki & Mlimani City

Eneo: Mikocheni Plaza, Mlimani City & Masaki, Dar es Salaam Tunatafuta wasichana wenye talanta ya kuuza na huduma kwa wateja...

READ MORE

Simba Yapunguza Bei ya Jezi Zote Msimu Huu wa Sikukuu!

Klabu ya Simba Sc kwa kushirikiana na JayRutty wametoa ofa ya punguzo la bei ya jezi zake katika kipindi hiki...

READ MORE