×

Tigo, Absa Bank na Jumo Wazindua Huduma ya Mkopo kwa Muda Mfupi

Afisa Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha (katikati) akizungumza kwenye uzinduzi huo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu Kitengo cha Fedha wa...

READ MORE

Kikwete Ampongeza Waziri Gwajima

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...

READ MORE

IGP Sirro Awaibua Chadema, DCI Kizimbani Kesi ya Mbowe-Video

KARIBU utazame ‘+255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka +255 Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Hamisa Mobeto Awashika Pabaya Watesi Wake

  HIVI karibuni mwanamitindo  pia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto aliibukia kwenye miondoko ya Singeli.   Aliachia...

READ MORE

Habari Kutoka Katika Magazeti ya Leo Sept. 15, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 15, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Ajali Yaua mmoja na Kujeruhi 7 Shinyanga

MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa kufuatia ajali ya Gari aliyokuwa amepanda kuligonga trekta kwenye eneo la kijiji...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx...

READ MORE

Kunta Kinte na Simulizi ya Utumwa Wake Amerika

KUNTA KINTE alikuwa muhusika Katika Riwaya ya “Roots” ya mwaka 1976 mtunzi wake akiwa ni Alex Haley, inasimulia simulizi ya...

READ MORE

Wema Amvuruga Kabisa Zari kwa Mondi

MREMBO Wema Isaac Sepetu anadaiwa kumvuruga kabisa mzazi mwenza wa staa wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah...

READ MORE

Kikwete: Samia Anaendesha Nchi Vizuri

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu na...

READ MORE

Mke Aliyembadili Dini Hans Pope Kenya Atua Dar na Watoto – Video

Mke aliyemfanya Zacharia Hans Poppe kubadili dini na kuwa Muislam kisha kufunga nae ndoa ya Kiislamu huko Mombasa nchini Kenya,...

READ MORE

Twaha Afunguka Sababu ya Kuitwa Kiduku

SIMULIZI ya bondia Twaha Kiduku katika gazeti la Championi Jumamosi aliishia kusimulia mipango yake baada ya kuachana na mchezo wa...

READ MORE

Adui wa Maisha Yako ni Wewe!

Watu wengi wanapata madhara makubwa katika maisha yao kutokana na kuishi maisha ya kujikosea wenyewe.   “Amenionaje mpaka ameamua kunisaliti?”...

READ MORE

Hitimana Aanza na Mkwara Mzito Simba SC

BAADA ya kukabidhiwa jukumu la kukinoa kikosi cha Simba, Kocha msaidizi wa timu hiyo, Mrundi Thierry Hitimana amesema kwa kuanza...

READ MORE

Simanzi Watoto wa Hans Poppe Wakiaga Mwili wa Baba Yao – Video

MWILI wa Aliyekuwa mjumbe wa kamati ya haki na sheria za wachezaji (TFF) na Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi (Simba...

READ MORE

Mauzauza Yatishia Usalama Hospitali ya Nkasi

UONGOZI wa Hospitali ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa umelalamikia vitendo vya ushirikina vinavyofanywa hospitalini hapo kiasi cha kuhatarisha usalama kwa...

READ MORE

Msomi Mwenye PHD Afundisha Chekechea

WALIMU watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za Awali [chekechea] kutokana na kukosa nafasi kwenye...

READ MORE

Azam Wawaweka kando Waarabu

NAHODHA na beki wa kati wa Azam, Aggrey Morris ameibuka na kusema kuwa kwa sasa akili na malengo yao yapo...

READ MORE

Nguvu za Mtoto Yunis Zinatisha, Mamia Wafurika Kupata Uponyaji – Video

Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu,Yunisi Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi NBC, Relationship Manager:insurance

NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail,...

READ MORE