×

Fahyma: Simchukii Paula

HATIMAYE Fahyma ameanza kulegea na kukubali yaishe; amebariki laivu penzi la baby daddy wake, Rayvanny na Paula Kajala. Kwa mdomo...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Alhamisi, Oktoba 28, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 28, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Ukweli Shusho Kunaswa na Pombe

WIKIENDI iliyopita kumeibuka mjadala mkali kufuatia mwimba Injili na mchungaji maarufu Bongo, Christina Shusho kunaswa akinywa kitu kilichodaiwa ni aina...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Makocha Wanne Kumrithi Solskjaer Man U

KLABU ya Manchester United imewaweka makocha wanne kwenye uangalizi ili waweze kuchukua nafasi ya kocha wao wa sasa Ole Gunnar...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Kampeni ya Madawati 1000 ya Benki ya Exim

LINDI; Oktoba 26, 2021: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, hii amezindua rasmi kampeni ya ugawaji madawati 1000 yaliyofadhiliwa na Benki ya...

READ MORE

Atupwa Jela kwa Kuvunja TV ya Mama Yake

KIJANA Ronald Kipkemboi kutokea nairobi nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha miezi sita na mahakama nchini humo mara baada ya kuvunja...

READ MORE

Rais Samia Awazawadia Viwanja Wachezaji Twiga Stars – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapa zawadi wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake,...

READ MORE

Benki ya NBC Yaja na Kadi Mpya, Mteja anaweza kufanya miamala hadi ya mil 40 kwa mara moja

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kadi mpya ‘NBC Visa Debit Card’ yenye kuwawezesha wateja binafsi kufanya miamala inayofikia...

READ MORE

GGML Yakabidhi Vifaa, Zana za Thamani ya Milioni 132 kwa VETA Moshi

Kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu Geita (GGML) imekabidhi rasmi zana/vifaa mbalimbali kwa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi...

READ MORE

Kijana Aliyejiuza Akamatwa

POLISI ya Kiislamu katika Jimbo la Kano inayofahamika kama Hisbah imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 26 kwa jina Aliyu...

READ MORE

Tanzania Yatoa Leseni ya Uchimbaji Mkubwa wa Nickel

SERIKALI ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 27, 2021 imetoa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini kwa kampuni ya Tembo Nickel...

READ MORE

Waziri Jafo: Tanzania Imejidhatiti Katika Kujenga Uchumi Wa Kijani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa Tanzania imejidhatiti katika kujenga...

READ MORE

Tangazo la Usaili kwa Waombaji wa Ajira ya Jeshi la Polisi

  Jeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye fani maalum ambao walioomba kujiunga na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Mrembo Akiwasha “Barabara Mbovu Imeninyima Mume”

MREMBO mmoja amelalamika kuwa barabara mbovu inayounganisha jamii kadhaa katika eneo lake imemzuia kupata mume akidai kwamba wanaume ambao wanatakiwa...

READ MORE

Jela Miaka 15 Kwa Kuiba Ng’ombe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Makoye Juma (19) mkazi wa...

READ MORE

Saido Aibuka Yanga Apiga Assist Ya Bao

IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi na kiungo wake mkongwe Mrundi, Said Ntibanzonkiza ‘Saido’ tofauti zao zimekwisha...

READ MORE

RPC Kinondoni Afunga Ushahidi Kesi ya Mbowe

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamshna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhani Kingai ametoa ushahidi wa maelezo ya mshtakiwa...

READ MORE

Mpiga Picha wa Sabaya “Mbowe Alinipigia Simu Nikaonana Naye Usiku”

SHAHIDI wa pili upande wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Justine...

READ MORE

Familia ya Watoto 11 Wenye Majina Yenye Herufi Zinazofanana

Familia ya Gwenny Blanckaert na Marino Vaneeno imekuwa na utamaduni wa kipekee linapokuja suala la kuwapa majina watoto wao ambapo...

READ MORE