×

Ziara Ya Katibu Mkuu Dkt. John Jingu Gereza Kuu La Isanga Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dodoma Akitokea Jijini Mwanza

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini...

READ MORE

Jux – Sina Neno (Official Audio)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux,  Septemba 8, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa Sina Neno. Kwa...

READ MORE

Serikali Kununua Ndege 5 za Mafunzo ya Urubani

SERIKALI imesema Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kitanunuliwa ndege tano za mafunzo ya urubani kuanzia mwaka huu wa fedha....

READ MORE

Shuga Sukari sehemu ya 7

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na...

READ MORE

Shigongo Ambana Waitara “Kuna Tatizo la Kivuko” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Septemba 8, 2021 kuhusu adha ya...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Kwenye Ajali King’ori Arusha

Watu watano wamefariki dunia kwenye ajali eneo la King’ori katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha leo Septemba 8, 2021...

READ MORE

Morocco Atoboa Siri Usajili wa Molinga

BAADA ya kukamilisha usajili wa straika mwenye mwili mkubwa, David Molinga, Kocha wa Namungo, Hemed Seleman Morocco, amesema mchezaji huyo...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa CCM Afanya Mazungumzo Na Zitto Kabwe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo  amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)...

READ MORE

Cholo Boy Afunguka Mazito “Maisha Yangu Mungu Anajua” – Video

  MCHEKESHAJI aliyeibuka hivi karibuni na ku trend kwenye mitandao ya kijamii, Cholo Boy, ametinga katika studio za Global Radio...

READ MORE

Afanya Mauaji Akidai Amerogwa Nyumba Yake Isimalizike

Samason Daudi (26) Mkazi wa Kijiji cha Mutuka Wilayani Babati anatuhumiwa kumuua Peter Buu(48) ambaye alimtuhumu kumroga ili nyumba yake...

READ MORE

Wakazi Wote 644 Watarejea Nyumba Za Makazi Magomeni Kota – RC Makalla

MKUU Wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameipongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) kwa kusimamia vyema mradi wa...

READ MORE

Live: Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza Kikao

Bunge Limepamba Moto, Naibu Spika Anaongoza mkutano wa nne kikao cha saba  leo, 08 Septemba 2021 

READ MORE

Nabi Anasa Siri za Wanigeria

TAYARI Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, amefichua kuwa amezinasa mbinu za wapinzani wao, Rivers United ya...

READ MORE

Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni,...

READ MORE

Poulsen: Tumeweka Rekodi, Tunaweza Kufuzu

  Kocha mkuu wa Taifa stars, Kim Poulsen amelidhishwa na ushindi wa 3-2 dhidi ya Madagascar katika dimba la Mkapa...

READ MORE

Rais Samia Asimikwa Kuwa ‘Chifu’ Wa Machifu Tanzania -(Picha +Video)

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 amesimikwa kuwa chifu wa machifu Tanzania na kupewa jina la HANGAYA likiwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, leo Septemba 8, 2021 amefanya uteuzi wa wakurugenzi...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuuza Watoto kwa Tsh 25,000

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwatorosha watoto 11 wenye umri wa kati ya miaka...

READ MORE

Yanga Yaanza Kunoga Safu ya Ushambuliaji

UNAWEZA kusema Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nassredine Nabi, taratibu inaanza kunoga kutokana na timu hiyo kupata muunganiko mzuri hasa...

READ MORE