×

Meridianbet Yaleta Mechi za Moto za Europa leo – Bashiri Uingize Mkwanja!

Mechi nyingi za Europa leo zipo kwaajili yako. Unangoja nini?. Suka jamvi lako hapa na huenda safari ya kutimiza ndoto...

READ MORE

Khamenei: Ushirikiano na Marekani Unawezekana Ikiwa Masharti Yatatimizwa

Kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema kuwa Iran na Marekani zina “tofauti za kutoelewana” na...

READ MORE

David Beckham Apatiwa Heshima ya Medali ya Sir kwa Mchango Wake Kubwa Katika Soka na Jamii

David Beckham Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya England ametawazawa kwa kupewa Medali ya Sir kwenye...

READ MORE

Burudani Inapaa, Cheza Super Heli Ujishindie Samsung A26 Mpya

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, imezindua promosheni ya kipekee inayowapa wachezaji nafasi ya kubeba...

READ MORE

CCM Yatoa Maazimio ya Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maazimio ya kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika jijini Dodoma...

READ MORE

Yanga Kutumia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa Mechi za Nyumbani za Makundi

Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kuwa itacheza mechi zake zote tatu za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano...

READ MORE

LATRA Yatoa Vibali 150 vya Mabasi Kubeba Abiria 26+ Kuendeleza Huduma za Usafiri Dar

Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo, amewatangazia...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi wa Wagombea wa Spika na Naibu Spika wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza...

READ MORE

Zohran Mamdani Awa Meya Mteule wa New York, Meya wa Kwanza Muislamu – Video

Zohran Mamdani, mwenye umri wa miaka 34, amechaguliwa kuwa Meya mpya wa Jiji la New York, na kwa mara ya...

READ MORE

Bunge la 13 Kuanza Novemba 11, Wabunge Wateule Wapewa Maagizo

Wabunge wote Wateule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametakiwa kufika katika Ofisi ya Bunge Dodoma kwa ajili ya shughuli...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli Novemba

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) yatangaza wajumbe wa viti maalum vya wanawake

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza majina ya wajumbe wa viti maalum vya wanawake watakaokuwemo katika Baraza la Wawakilishi,...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Hamza Said Johari Kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Dodoma, Novemba 5, 2025 — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha BHamza Said Johari...

READ MORE

Mabingwa wa Ulaya Wapo Dimba Leo – Beti na Meridianbet Upate Ushindi Mnono!

Kama kawaida mabingwa wa Ulaya wapo dimbani leo kusaka ushindi mnono, huku wewe ukisaka mepene na Meridianbet. Tengeneza mkeka wako...

READ MORE

Ajali ya Ndege ya UPS: Wafanyakazi 11 Wajeruhiwa, Watu 7 Wafariki

Watu 7 wamefariki dunia na 11 kujeruhiwa baada ya ndege ya UPS kuangukia karibu na Uwanja wa Ndege wa Louisville...

READ MORE

Dick Cheney, Makamu wa Rais wa Marekani Mwenye Nguvu Afariki

Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Marekani, Dick Cheney, ambaye alihudumu chini ya Rais George W. Bush na alikuwa miongoni...

READ MORE

Wakili wa Zamani wa Jeshi la Israel Akamatwa baada ya kuvuja kwa Video ya Unyanyasaji

Tel Aviv, Israel — Wakili wa zamani wa kijeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), Meja Jenerali Yifat Tomer-Yerushalmi,...

READ MORE

Athari za Vita vya Sudan Zasambaa Mashariki mwa Chad: Mgogoro wa Kibinadamu Wazidi Kutikisa

Athari za vita vya Sudan, vilivyoanza katikati ya Aprili 2023, hazijaishia tu kwa raia wa nchi hiyo; moto wa mzozo...

READ MORE

New Foundation Targets Education Infrastructure to Fuel Transformation in Tanzania

Dodoma, Tanzania — Mr. Sanjeev Mansotra, Chairman, Planet One Group today announced the launch of the Sanjeev Mansotra Foundation (SMF)...

READ MORE

Meridianbet Yaileta Non-Stop Win&Go Drop, Tiketi za Bure Zenye Ushindi Kila Dakika

Katika ulimwengu wa kasino ya mtandaoni, Meridianbet imechachafya anga kwa kuzindua promosheni ya kipekee inayojulikana kama Non-Stop Win&Go Drop. Hii...

READ MORE