×

Habari Zilizoandikwa Katika Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 25, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 23, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx...

READ MORE

Breaking News: Haji Manara Atambulishwa Rasmi YANGA – Video

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi na Klabu ya Yanga. “Nimejiunga na Klabu kubwa kupita zote...

READ MORE

Haji Manara: Yanga ni Klabu Kubwa, Itashinda Kila Taji – Video

ALIYEKUWA Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi kujiunga na Klabu ya Yanga kuwa msemaji wa mabingwa hao...

READ MORE

RC Makalla Azindua Mfumo Rasmi Wa Ukusanyaji Ushuru wa Maegesho

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo Agosti 24 amezindua mfumo rasmi wa ukusanyaji wa...

READ MORE

Polisi Wawadaka Watuhumiwa wa Ugaidi Wakiwa wa Silaha

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wa ugaidi katika Kivuko cha Likoni, wakiwa njiani kuelekea jijini Mombasa....

READ MORE

Silaa Afunguka Baada ya Kuhojiwa – Video

Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametakiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kurejea tena...

READ MORE

Profesa Jay Ageukia Utangazaji

Mkongwe wa muziki wa Hip Hop Bongo ambaye pia ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mikumi kwa leseni ya Chadema,...

READ MORE

Mchungaji Mashimo Ataka Kufungishwa Ndoa na Gwajima

Mchungaji Mashimo ameenda kwa Askofi Josephat Gwajima na kumuomba amfungishe ndoa na mchumba wake ambaye hakutajwa jina.   Juzi katika...

READ MORE

Jerry Slaa Alivyowasili Bunge Kuhojiwa na Kamati Ya Maadili

Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuitikia wito wa Spika Job...

READ MORE

Rais Samia Kufungua Mkutano Kesho

Rais Samia Suluhu Hassan kesho Agosti 24, 2021 anatarajiwa kufungua kikao kazi cha siku tatu cha Maofisa Wakuu wa Makao...

READ MORE

Watuhumiwa 16 Wanaswa na Silaha, Bangi na Mali za Wizi

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watuhumiwa 16 kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha bangi, wizi wa mali inayosafirishwa, mali za...

READ MORE

Majina ya Waombaji Waliodahiliwa Katika Chuo Zaidi ya Kimoja

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma na wadau wa Elimu ya Juu nchini kuwa awamu ya kwanza...

READ MORE

Mnigeria Akoshwa na Vocals za Alikiba

INAONEKANA Muziki wa Bongo Flava unafwatiliwa sana nje ya Tanzania kuliko tunavyofikiri,na ikiwa wasanii wetu wataamua kutengeneza muziki wao na...

READ MORE

Mwanamke Atokwa Maziwa Kwenye Kwapa Baada ya Kujifungua

KUJIFUNGUA mtoto kunakuja na mabadiliko mengi katika mwili, mabadiliko ambayo megine ni ya kawaida na yasiyo ya kawaida. Mwanamke mmoja...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Sabaya Kutolewa Oktoba 1 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha kusikiliza kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole...

READ MORE

Askofu Ruwai’chi: Naagiza Mapadri Wote Dar Lazima Mkachanjwe, Tuache Utoto

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo...

READ MORE

Polisi Aibuka Hospitali, Amuua kwa Risasi Mkewe Akitibiwa

MAOFISA wa polisi wanachunguza kisa kimoja ambapo mwenzao kutoka Kituo cha Polisi cha Njoro nchini Kenya amepiga risasi na kumuua...

READ MORE

Nani Kuondoka na Smart Tv ya inchi 55 Katika Droo ya Kwanza ya KaliKuliko

  Habari njema kwa wateja wa Infinix NOTE 10, NOTE 10pro, HOT 10t, HOT 10play na HOT 10i wa mwezi...

READ MORE