×

Mwili wa Mwl. Kashasha Waagwa Dar – Video

MWILI wa aliyekuwa mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) umeagwa leo Jumatatu, Agosti 23, 2021, nyumbani kwake,...

READ MORE

Ambundo Achochea Moto Yanga

DICKSON Ambundo, ingizo jipya ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kusaini ndani ya timu hiyo hivyo...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani kwa Hati ya Dharura – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa...

READ MORE

Afariki kwa Kula Nyama ya Kuku Mgonjwa

Binti mwenye umri wa 7 kutoka kijiji cha Igumo wadi ya Marimanti katika Kaunti ya Tharaka Nithi nchini Kenya ameaga...

READ MORE

Kimeumana Ufaransa, Ngumi Zapigwa Uwanjani

GAME ya Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kati ya Timu ya Nice dhidi ya Marseille umeshindwa kumalizika baada ya...

READ MORE

Breaking: Watumishi Watano wa TRA Wafariki kwa Ajali

Watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa...

READ MORE

Simanzi Nzito Mazishi ya Basil Mramba

MAMIA ya wananchi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro na kwingineko nchini wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Polisi Amuua kwa Risasi Mwenzake Wakimkimbiza Dereva wa Lori

POLISI wa kike kutoka kituo cha Polisi cha Gilgil Weighbridge kwenye barabara ya Ngong-Suswa amempiga risasi kimakosa afisa mwenzake wakimkimbiza...

READ MORE

Mchungaji Aliyezikwa Akiwa Hai Akisema ‘Atafufuka Kama Yesu’ Afariki Dunia

MCHUNGAJI wa kanisa la Zion nchini Zambia, James Sakara (22), aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike...

READ MORE

Live: Gwajima Mbele ya Bunge “Nitasema Ukweli, Sibadiliki”, Chadema Yagoma Mwaliko Kwenda Ikulu

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Mtoto Azaliwa na Sehemu Tatu za Uume – Video

WANASAYANSI wamezidi kushangazwa na kilichosababisha mtoto mmoja wa kiume aliyezaliwa na sehemu tatu za uume nchini Iraq miezi kadhaa baada...

READ MORE

Tanzia: Meya wa Shinyanga Afariki Dunia

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Harmonize, Rayvanny Kimeumana Upyaa

KAMA ulikuwa unaamini vita kati ya mastaa wawili wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, imekwisha basi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 23, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 23, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Bondia Yordenis Ugas Amtwanga Manny Pacquiao

BONDIA Manny Pacquiao amepoteza pambano dhidi ya Bondia Yordenis Ugas aliyechukua nafasi ya Errol Spence Jr, kwa tofuti ya alama...

READ MORE

Vodacom Foundation Yatambuliwa kwa Kuboresha Elimu Kupitia Teknolojia

  Dar es Salaam Jumapili 22 Agosti 2021… Mamlaka ya Elimu ya Tanzania (TEA) imetoa cheti cha kutambua mchango endelevu...

READ MORE

Simba, Yanga Mziki Umekamilika Kuelekea Ngao ya Jamii

   HAKUNA kisingizio Septemba 25, mwaka huu kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utakuwa ni ufunguo wa msimu wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Kombe La CECAFA U23 Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo 22 Agosti, 2021 anapokea Kombe la Ushindi la Michuano...

READ MORE

Kodi ya Majengo Kwenye Luku ni ya Mwenye Nyumba Sio Mpangaji

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu kodi ya majengo ambayo imeanza kulipwa Agosti 20, 2021 kupitia makato wakati wa ununuzi wa LUKU...

READ MORE

Diamond Platnumz – Naanzaje (Audio)

 MSANII wa Bongo Fleva anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, Nassib Abdul ‘Diamond’ leo Agosti 22, 2021 ametoa wimbo...

READ MORE