×

Trump Amkomalia Rais Biden “Jiuzulu”

Rais mataafu wa Marekani, Donald Trump amemtaka Rais wa nchi hiyo, Joe Biden ajiuzulu akimtuhumu kusababisha Wanamgambo wa Kundi la...

READ MORE

Rais Samia Ateua Mabalozi Wa Marekani, Uturuki na Italia

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 17, 2021 amemteua Balozi Mteule Lt Gen Hassan Yakub Mohammed kuwa balozi wa Tanzania...

READ MORE

Mbadala wa Chama Atua Kambini Morocco

IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mchezeshaji raia wa Mali, Sadio Kanoute, juzi jioni alijiunga na kambi ya Simba nchini Morocco kujiandaa na...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia SADC “Hatupaswi Kuridhika” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehutubiwa Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Rais Awateua Prof. Elisante Na Jaji Mstaafu Mohamed Chande

Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Pia, amemteua Prof. Elisante...

READ MORE

Idris na Wenzake Waachiwa Huru

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa Bongo Movies na...

READ MORE

Historia ya Basil Mramba, Uwaziri Mpaka Kufungwa Gerezani

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ikiwemo kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil...

READ MORE

Breaking: Serikali Yaagiza Askofu Gwajima Akamatwe

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi na Taasisi ya...

READ MORE

Hichilema: King’ang’anizi Aliyeshindwa Mara Tano Urais Zambia

Hakainde Hichilema mwenye umri wa miaka 59 sasa, ndiye rais mpya wa Zambia aliyetangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo,...

READ MORE

Rais Biden Atuma Kikosi Kazi Afghan

Rais wa Marekani, Joe Biden amesema ameidhinisha vikosi zaidi vya Wanajeshi wa Marekani viende katika Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul,...

READ MORE

Rais Biden Agoma Kubeba Msalaba wa Afghan

Rais wa Marekani, Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa majeshi yake nchini Afghanistan licha ya nchi hiyo kutekwa na...

READ MORE

Filamu ya Idris ‘Slay’ Yaingia Top 10

IMECHUKUA miezi mitatu na wiki kadhaa kabla ya kurejea tena kwa filamu ya Slay aliyoshiriki Mtanzania Idris Sultan kwenye mtandao...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Coca Cola Kwanza Limited – Electrical Technician

Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Manufacturing Department. We are looking for a talented individual with...

READ MORE

Msimu Mpya, Vibe Jipya Viwanjani, Dakika 90 Kuamua Nani Mbabe!

Ni mwendo wa burudani kila pembe ya ulimwengu. Barani Ulaya, mambo yanazidi kutaradadi ukiwa ni msimu mpya wa 2021/22. Baadhi...

READ MORE

Breaking: RC Msataafu Mwakipesile Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Breaking: Waziri wa Zamani, Basil Mramba Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania na Mbunge wa Rombo, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo Jumanne,...

READ MORE

Live: Rais Samia Suluhu Akishiriki Mkutano Wa 41 Wa SADC

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anashiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na...

READ MORE

Aunt Amchimba Mkwara Ruby

BADO habari nzito mjini ni patashika nguo kuchanika kati ya mwigizaji wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na mwanamama anayekiwsha kunako...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza Hichilema kwa Kushinda Urais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema akisema; “Kwa niaba...

READ MORE

Video: Wafuasi Chadema Mbaroni Kanisani, Gwajima awavaaa wanaomshukia | FRONT PAGE

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE