×

Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumatano, Julai 7, 2021, baada ya moto kulipuka katika jengo la maabara ya...

READ MORE

Mzozo Waibuka Mazishi ya Rais Kaunda

BAADHI ya wanafamilia ya Rais wa zamani wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda wamekwenda kortini kujaribu kuzuia mazishi yake katika uwanja...

READ MORE

Book of Eskimo – Sloti Yenye Mkwanja Kupititia Meridianbet Pekee!

Book of Eskimo – Sloti Yenye Mandhari ya Barafu Sehemu kubwa ya Bara la Antarctica limekuwa sehemu inayowapa hamasa watengenezaji...

READ MORE

Italy Yaitungua Spain na Kutinga Fainali ya Euro 2020

Timu ya Taifa ya Italia imefanikiwa kutinga Fainali ya michuano ya Euro 2020 baada ya kuiondosha Hispania kwa mikwaju ya...

READ MORE

Nafasi ya kazi Puma Energy, Sub-regional Tax Manager

Main Purpose: Assist the Africa Tax Manager to effectively manage the taxes of the sub-regional operations in line with the...

READ MORE

Wanachama 17 NHIF Mbeya Mbaroni

Wanachama 17 wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) mkoani Mbeya wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuisababishia Serikali hasara...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 7, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 7, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mwanakijiji Moro Ashinda Zawadi Nono ya Gari la Mil 169 Kutoka NMB

Promosheni ya Benki ya NMB ya “Bonge la Mpango” imemalizika rasmi Jumatano wiki hii kwa mkazi wa Mkoa wa Morogoro,...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,  amezungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Auawa Baada ya Kumfumania Mama Yake Mzazi na Mwanaume Mwingine

JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya kumchinja Budagala Vita (26), kwa kumcharanga...

READ MORE

Kiungo Mkenya amalizana na Yanga

YANGA inatajwa kumalizana na kiungo mshambuliaji na nahodha wa Gor Mahia ya Kenya, Kenneth Muguna kwa kumpa mkataba wa miaka...

READ MORE

Mzee Mpili: Hapa Dar Nimemaliza, Natangulia Kigoma Simba Mtanikuta

SIMBA wanalia wakiwaambia wababe wao Yanga kwamba mumshukuru Mzee wenu Mpili vinginevyo mngekula nyingi lakini mwenyewe amejibu mapigo akiwaambia ‘Hapo...

READ MORE

Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona

Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ikiwemo kuvaa...

READ MORE

RC Makalla: Fedha za TASAF Wasipewe Wajanjawajanja

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi wote wanaokwenda kutekeleza na kuhakiki Kaya maskini kuhakikisha...

READ MORE

Kachero Ofisi ya DCI Afa Kwenye Send-Off

Kachero mmoja kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya maarufu kwa jina la Shiru,...

READ MORE

Majina ya Madaktari Walioajiriwa na Serikali Julai 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema...

READ MORE

Mzee Mpili: Mechi ya Kigoma Imekwisha

SHABIKI na mwanachama maarufu wa Klabu ya Yanga mzee Haji Mpili ameweka wazi kuwa ushindiwa bao 1-0, walioupata dhidi ya...

READ MORE

Rasmi: Djuma Mali ya Wananchi

RASMI beki wa kulia wa AS Vita ya Congo DR, Djuma Shaban (28) amesaini Mkataba wa kujiunga na Wanajangwani Yanga....

READ MORE