×

Yacouba Songne na Monica Maulid ni wazazi wa binti yao Genesis

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga kutoka Burkina Faso, Yacouba Songne na mwanadada wa Kitanzania, Monica Maulid, ni wazazi wa mtoto...

READ MORE

Usikubali udhaifu wa umpendaye, hamuwezi kudumu!

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha kwa mara nyingine katika safu yetu hii ambapo tunajuzana mambo mbalimbali...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 18, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Nmb Yawano Wananchi, Vikundi Vya Kijamii Kimanzichana

PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri...

READ MORE

Ibada ya Kitaifa ya Kumuaga Raila Odinga Yafanyika Nairobi

Ibada ya kitaifa ya kumuaga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, imefanyika leo jijini Nairobi, ikiunganisha...

READ MORE

Odinga Alipokutana Live na Mwandishi wa Global na Kumshangaza

Nikiwa mwandishi na mpiga picha wa kawaida sana nisiye na makuu Novemba 27 mwaka 2011 nilikuwa mpiga picha wa matukio...

READ MORE

Mkulima Singida Ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kumbaka Mjukuu Wake

Mahakama ya Wilaya ya Singida imemhukumu Hamis Said Debwa (65), mkulima na mkazi wa Mnung’una, kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Serikali Yapandisha Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi kwa Asilimia 33.4

Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka...

READ MORE

TBL Yafanya Maadhimisho ya Global Beer Responsible Day

Dar es salaam, 17 Oktoba, 2025. Kampuni ya bia Tanzania Breweries Plc (TBL), ambayo ni kuwa sehemu ya familia ya...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Ili Shahidi Atumie Kompyuta Kutambua Vielelezo

Kesi ya Uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa kwa muda mpaka saa tisa kamili Alasiri baada ya Mahakama...

READ MORE

Aliyekua Mshauri wa Trump Ashtakiwa Kwa Kuvujisha Siri za Taifa

John Bolton, aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa wa Rais Donald Trump na kisha akawa mkosoaji wake makini, amefunguliwa mashtaka...

READ MORE

Vodacom Tanzania Kupitia VTV Yazindua Filamu Ya “NIKO SAWA” Inayochochea Mazungumzo Muhimu Kuhusu Afya Ya Akili

Dar es Salaam, 17 Oktoba 2025: Vodacom Tanzania PLC imetangaza uzinduzi wa filamu ya “NIKO SAWA”, filamu ya kipekee ya...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango Awasili Nairobi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Raila Odinga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 17 Oktoba 2025 amewasili Nairobi nchini...

READ MORE

Bluu Yagusa Maisha Ya Wagonjwa Hospitali Ya Mwananyamala Na Amana

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bluu imeendelea kurudisha kwa jamii kwa kuwasaidia watu wenye uhitaji katika maeneo mbalimbali, ikiwemo Hospitali...

READ MORE

Mechi za Moto, Odds za Faida – Meridianbet Yabeba Burudani leo

Mashabiki wa soka, leo ni usiku wa burudani ya hali ya juu kutoka viwanja vya Ulaya. Na wale wabashiri hamjaachwa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wa Wakuu Wa Nchi Wa SADC Kuhusu Hali Ya Usalama Madagascar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Mahakama yakataa ombi la kusitisha mazishi ya Raila Odinga – familia yapata ruhusa kuendelea

Mahakama Kuu nchini Kenya imekataa ombi lililowasilishwa na kundi la watu waliotaka kusitishwa kwa muda kwa mazishi ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Ushindi wa Kutisha Unakungoja Ukicheza Trick or Treat Bonanza

Wapenzi wa kasino na michezo ya mtandaoni, msimu wa Halloween umefika na Meridianbet imekuandalia burudani isiyo na kifani kupitia Trick...

READ MORE

Mke wa Akon Atikisa Dunia Afungua Kesi ya Talaka, Adai Euro Milioni 100

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Akon, anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kifamilia na kifedha baada ya mke wake, Tomeka Thiam,...

READ MORE