×

Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yajiimarisha Kisheria Usimamizi Wa Biashara Za Utalii Nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum...

READ MORE

Trump Aidhinisha Msaada wa Dola Bilioni 20 kwa Argentina

Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri wazi kuwa msaada wa kifedha wa dola bilioni 20 uliotolewa na Marekani kwa Argentina...

READ MORE

Mgombea wa CCM Dkt. Samia: Nitawawezesha Wavuvi Kupata Mitaji na Vyombo vya Uvuvi

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

CMSA Yafungua Milango Ya Uwekezaji Kwa Mtanzania Wa Kawaida

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na dhamana Tanzania (CMSA) imeeleza kuwa mfuko wa pamoja wa uwekezaji Vertex International Securities Exchange...

READ MORE

Yas ‘Zanzibar International Marathon 2025’ Rasmi Novemba 23

Dar es Salaam, 15 Oktoba 2025 – KampuniyaMawasilino Yas kwakushirikianana Mixx, leo imezindua rasmi maandalizi ya mbio za Yas Zanzibar...

READ MORE

Dkt. Samia: Serikali Italipa Kipaumbele Zao la Vanila na Miundombinu Kagera

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Wenje Ampongeza Dkt. Samia kwa Mapinduzi ya Sheria – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa na aliyewahi kuwa...

READ MORE

Watu Wanne Wakamatwa Dar kwa Kumiliki Vyombo vya Habari Bila Leseni – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wanne kwa tuhuma za kumiliki na kuendesha vyombo...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yahirishwa Kufuatia Msiba wa Naibu Msajili wa Mahakama Kuu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa leo Jumatano, Oktoba 15, 2025,...

READ MORE

Kesi ya Luhaga Mpina Yatupiliwa Mbali, NEC Yapewa Uhalali wa Maamuzi Yake

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, leo Jumatano Oktoba 15, 2025, imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Luhaga Mpina na...

READ MORE

Slotopia Yapanua Wigo wa Michezo Meridianbet, Fursa Mpya kwa Wapenda Ushindi

  Kama wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, basi habari hii ni ya kukufurahisha kuliko zote. Meridianbet wamezindua...

READ MORE

Uwanja wa Sokoine Wafungwa Kutumika Kwa Mechi za Ligi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya kutumika kwa michezo ya Ligi, kutokana...

READ MORE

Aliyekua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga Afariki Dunia

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa chama cha ODM, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia leo Jumatano, Oktoba...

READ MORE

Kiongozi wa Kijeshi Atangaza Kugombea Urais Gabon

Takriban miaka miwili baada ya kuongoza mapinduzi yaliyomaliza utawala wa familia ya Bongo uliodumu kwa zaidi ya nusu karne, kiongozi...

READ MORE

Selemani Kidunda Apata Cheti cha Ukocha wa Ngumi ya Kimataifa

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Selemani Kidunda, ameongeza hadhi nyingine katika taaluma yake ya michezo baada ya...

READ MORE

Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa, Senegal na Ivory Coast Ndani!

Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0...

READ MORE

Walimu Kutoka Taasisi Ya Henan Polytechnic (Hpi) Ya China Watoa Mafunzo Kipawa Chini Ya Mradi Wa Zhangheng

WALIMU wawili fani ya Mechatronics kutoka Taasisi ya Henan Polytechnic (HPI), Du Yichen na Liu Yachuang wametoa mafuzo kwa muda...

READ MORE

Msanii Mkongwe wa R&B, D’Angelo Afariki Dunia Akiwa na Miaka 51

Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Michael Eugene Archer almaarufu D’Angelo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya kusumbuliwa...

READ MORE

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere: Safari Kutoka Magomeni Hadi Uhuru wa Tanganyika – Video

Oktoba 14, 2025 — ni kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeaga dunia Oktoba...

READ MORE