×

Simba Watamba Tunawapiga Nje, Ndani Kaizer Chiefs

SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika mchezo ambao inawezekana ukawa ni mwendelezo wa timu hiyo kuandika historia ya kipekee...

READ MORE

Msuva Ajipa Matumaini Kibao CAF

MSHAMBULIAJIwa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika kikosai cha Wydad Casablanca cha Morroco, Simon Msuva amesema kuwa watafanya kila namna kuhakikisha...

READ MORE

Yanga: Namungo Wagumu Ila Watafia Kwao

BEKI wa kati wa Yanga, Dickson Job, amesema kuwa wana uhakika watapata ushindi mnono dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo...

READ MORE

Kocha Ajiondoa Man Utd Kisa Vifaa Vibovu

KUKOSEKANA kwa vifaa muhimu kwa ajili ya mazoezi kumetajwa kuwa chanzo cha Casey Stoney kuamua kujiondoa katika majukumu ya kuinoa...

READ MORE

Wadukuzi wa Bomba la Mafuta Walipwa Mabilioni

KAMPUNI ya Colonial ambayo inamiliki Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi...

READ MORE

Hoteli Ya Mondi Yafungwa, Msimamizi Afunguka

MWAKA mmoja baada ya msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platumz’ kununua hoteli ya kifahari, hoteli hiyo imefungwa. Katika...

READ MORE

Marcelo Azinguana na Zidane, Atolewa Kikosini

MSUGUANO unadaiwa kuwa ni moja ya sababu ya beki wa kushoto Marcelo kuondolewa katika kikosi cha Real Madrid kilichotarajiwa kucheza...

READ MORE

Fahamu Alichokifanya Sabaya Kabla ya Kutumbuliwa

Rais Samia Suluhu Hassan jana Alhamisi Mei 13, 2021 alimsimamisha kazi mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole...

READ MORE

Aussems: Ubora Utaibeba Simba Kwa Kaizer

KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa ubora wa timu hiyo kwa sasa umekuwa mkubwa kutokana na...

READ MORE

Wikiendi Ya Kukata Na Shoka Katika Ligi Mbalimbali Barani Ulaya

Mechi za kibabe kuchezwa wikiendi hii, timu nyingi kutafuta ubingwa ili kufuzu mashindano ya ligi mbalimbali. Nani atashuka, nani atapanda...

READ MORE

🔴#Live: Diamond Atoa Msaada Nyumbani Kwao Tandale

MSANII Diamond Platnumz, leo Mei 14 ametoa misaada kwa wananchi wa Tandale ikiwa ni sikukuu ya Eid Al Fitri..

READ MORE

Dkt. Mpango Atembelea Kaburi la Magufuli

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizuru Kaburi la aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Awatakia Watanzania Wote Eid Njema

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia Watanzania wote sherehe njema ya Eid Al Fitri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

READ MORE

Mondi Kumwaga Zawadi ya Eid Tandale, Kariakoo

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi na Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia Kutoa alichojaliwa ikiwa kama zawadi...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Swala ya Eid, Mnazi Mmoja Dar – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 14, 2021 ameshiriki swala ya Eid iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar...

READ MORE

Mwalimu Akutwa Kitandani Akifanya Mapenzi na Wanafunzi Watatu

Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salim Kali, ameagiza kuhamishwa wilayani kwake mwalimu anayetuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi watatu...

READ MORE

Watatu Washikiliwa kwa Tuhuma za Mauaji Moshi

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watatu kwa madai ya kuhusika na tukio la mauaji ya kijana wa bodaboda,...

READ MORE

Vinara wa Wizi Wanaswa Mbeya

KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA MATUKIO YA UVUNJAJI NA WIZIy Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. KELVIN...

READ MORE

Mahakama ya Juu Kenya Yamzuia Rais Kubadili Katiba

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba mageuzi ya kikatiba yanayoungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi mkuu wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE