×

Kocha Yanga Aahidi Ushindi Kesho na KMC – Video

Kocha wa Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Juma Mwambusi ameahidi ushindi kwenye mchezo wao wa hapo kesho...

READ MORE

Bunge leo: Mawaziri Wawekwa Kikaangoni, Kipindi Cha Maswali Na Majibu -Video

 NI mkutano wa 3 wa Bunge la 12, kikao cha sita, umefanyika leo Aprili 09, ukiongozwa na Spika wa...

READ MORE

Ndugai: Mradi Bandari ya Bagamoyo Uendelee – Video

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameishauri serikali kuliangalia suala la mradi wa bandari ya Bagamoyo kama ni jambo jema...

READ MORE

Live: Kishindo Ripoti Ya CAG, Kigwangwala Akaliwa Kooni | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi FHI 360, Administrative Assistant

  Administrative Assistant FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing...

READ MORE

Zamalek Watia Mkono Mechi ya Simba

HAKUNA kulala! Ndivyo utakavyosema mara baada ya kutua Cairo, Misri kikosi cha Simba kilifanya mazoezi kwa saa mbili katika kujiandaa...

READ MORE

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Waibuka Kidedea Katika Mashindano Ya Masoko ya Mitaji

SHINDANO maalumu la ‘The Capital Markets, Universities and Higher Learning Institutions Challenge’ kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na Taasisi za...

READ MORE

Clouds Yafafanua Malipo ya Mil 629 Zilizotajwa na CAG

Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi...

READ MORE

Baba Agomea Msiba wa Mtoto Wake, Arudishiwe Uhai

BABA mzazi wa kijana Kusekwa George mkazi wa mtaa wa Ihushi kata ya Kishiri, Nyamagana Mwanza, amekataa kuhudhuria msiba na...

READ MORE

Afande Sele Aibuka “Sijafa, Nilipata Ajali” – Video

BAADA ya Kuwepo kwa Tetesi kuwa Msanii Afande Sele, kuwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kufuatia taharuki aliyozua baada ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 9, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 9, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Dkt. Kikwete Kuongoza Harambee ya Kukusanya Futari Kwa Ajili ya Yatima

Taasisi isyo ya kiserikali ya VOLUNTEERS IN DEVELOPMENT imeandaa harambee ya kuchangisha futari kwa ajili ya YATIMA waishio majumbani kwao...

READ MORE

CAG Abaini Hasara ya Bil 150 ATCL

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limepata hasara ya...

READ MORE

CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa kituo cha televisheni cha Clouds kililipwa Sh 629.7milioni...

READ MORE

Mil 311.9 Kutengeneza Barabara ya Hifadhi ya Taifa Ibanda

Dodoma. Serikali imetenga shilingi milioni 311.9 zitakazotumika kuchonga Barabara yenye urefu wa kilometa 20 katika hifadhi ya Taifa Rumanyika karagwe na...

READ MORE

Spika Ndugai: Waziri Mwambe Ana Majibu ya Hovyo, ni Jeuri

  Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wabunge kuhusu majibu aliyoyaita ya kifedhuli yanayotolewa na Waziri...

READ MORE

Mradi wa Umeme Stigler’s Unatumia Upembuzi wa Mwaka 1970

  Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa...

READ MORE

CAG: Kigwangalla Kill Challenge Mil 172 Hazikuwa Kwenye Bajeti

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonyesha Waziri ya Maliasili na Utalii aliziagiza Hifadhi za...

READ MORE

CAG: Stendi ya Magufuli Itasababisha Foleni Morogoro Road

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema ujenzi wa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo...

READ MORE