×

Puma Energy Tanzania Waadhimisha Wiki ya Huduma Kwa Wateja Kwa Kutoa Huduma Za Ziada Kwenye Vituo Mbalimbali Nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akisafisha kioo cha gari cha mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa...

READ MORE

Polepole Adaiwa Kutekwa, Polisi Waanza Uchunguzi

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma, likieleza kuwa limeona taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ndugu wa Humphrey...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaadhimisha Miaka 25 Ya Huduma Katika Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Urithi wa Ujumuishi na Ubunifu Unaomlenga Mteja Dar es Salaam – Oktoba 6, 2025: Wakati dunia ikiadhimisha Wiki ya Huduma...

READ MORE

Mzee Butiku Amlipua Captain Tesha “Hatuna Mavazi Kama Hayo, Hilo Si Jeshi Letu”- Video

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Warioba Butiku amewahimiza Watanzania kuungana na Kauli rasmi iliyotolewa na Jeshi la...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Kuendelea Kusikilizwa leo

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo kuanzia leo...

READ MORE

Ahmad Ali awe Kocha Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu

Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Jaji Mkuu Masaju Atoa Wito Wa Ushirikiano Kati Ya Mahakama, Polisi Na Mawakili – Video

JAJI MKUU wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju, ametoa wito kwa askari wa Jeshi la Polisi, mawakili na wadau wote...

READ MORE

Polisi Watoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Mitandao ya Kijamii

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa on warning kali dhidi ya kile lilichokiita matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwa...

READ MORE

TEF Yalaani Vikali Wito wa Wanajeshi Kujihusisha na Siasa

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli na maudhui yaliyosambazwa katika mitandao ya kijamii Oktoba 4, 2025, yakionesha watu...

READ MORE

Zijue Tabia za Mke Mwema Katika Mahusiano Ya Ndoa… Soma Hapa

Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha...

READ MORE

Diarra Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC

Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 6, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Meridianbet Missions, Njia Mpya Ya Kuburudika Na Kushinda Zaidi

Karibu kwenye msimu mpya wa michezo ya kasino kupitia Meridianbet Missions, mfumo wa kipekee uliobuniwa kwa ajili ya wapenzi wa...

READ MORE

EWURA Yatoa Rai Kuhusu Vibali Vya Ujenzi wa Vituo Vya Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa rai kwa wafanyabiashara wanaokusudia kuanzisha vituo vya mafuta kuhakikisha...

READ MORE

Mgeja Achanja Mbuga Kumuombea DK. Samia Kura za Ushindi wa Kishindo

Kahama Shinyanga: MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga na Mwanasiasa  Mkongwe, Khamis Mgeja amejitosa kumpigia...

READ MORE

Sikonge Yafurika Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Nchimbi

Picha za matukio mbalimbali mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Rais Samia Kwenye Uapisho wa Rais Mutharika Nchini Malawi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 04, 2025 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais Mteule...

READ MORE

Kihongosi: Zaidi ya Milioni 14 Wahudhuria Mikutano ya Dkt. Samia Nchini – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu...

READ MORE

Dansa Maarufu wa Tukuyu Sound, Arafa Matatuu, Afiwa na Mume

Dansa nyota wa Tukuyu Sound, Arafa Matatuu, amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mumewe leo alfajiri jijini Dar es...

READ MORE

Wikiendi ya Kibingwa Na Odds Kali Kutoka Meridianbet

Muda wa burudani ya soka safi ndo huu umewadia. Viwanja mbalimbali barani Ulaya vinaenda kuwa jukwaa la kutoa burudani ya...

READ MORE