×

Rais Samia Awatakia Pasaka Njema Watanzania Wote

Leo Aprili 4 Wakristo ulimweguni kote wanaadhimisha kufufuka kwa Yesu Kristo (sikukuu ya Pasaka ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 3, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 4, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazeti la...

READ MORE

Kocha mpya Yanga Afunguka Kiwango cha Metacha, Shikalo

AKIANZAkibarua cha kukinoa hicho, Kocha Mkuu wa makipa wa Yanga raia wa Kenya. Razack Siwa amesema kuwa amevutiwa na viwango...

READ MORE

Simba Yatinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Kibabe

Klabu ya Simba imefuzu Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kujihakikishia kuongoza kundi, baada ya kuifunga AS Vita katika...

READ MORE

Rais Samia Atua Dar Akitokea Dodoma – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 3, 2021 amepokelewa na Mkuu wa mkoa wa...

READ MORE

Mwigulu: Mlioficha Pesa Nyumbani Ziwekeni Benki, Zitaliwa na Panya

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani kuacha kufanya hivyo na badala yake wahifadhi...

READ MORE

Kocha Simba Awazidi Ujanja AS Vita

ACHANA na ile ya kila pasi tano bao, sasa hivi Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes amekuja na kila...

READ MORE

Mwakalebela: Natafakari Kukata Rufaa TFF

“HIZO taarifa ndiyo kwanza nazipata kwako, hivyo bado sijajua maamuzi yoyote juu ya hilo, lakini hivi sasa natafakari kama nitaweza...

READ MORE

EXCLUSIVE…Harmo Aukimbia Mjengo Wa Kifahari

“EEH bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi…Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba…Mwenye nyumba nitakulipa mwezi ujao…Eeh bwana nauza feni, nauza jiko…Mwenzenu nimeishiwa...

READ MORE

Wanafunzi Wanne UDOM Wafariki Ajalini

Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu Dodoma (Udom) wamefariki dunia katika ajali ya basi la kampuni ya Machame iliyotokea Machi 30,...

READ MORE

Basi la Simba SC Lawekwa Sokoni

MWAKA mpya na mambo mapya ndani ya kikosi cha Simba, mara baada ya kuliweka sokoni basi lao la timu ambalo...

READ MORE

AS Vita Walikataa Gari la Simba Uwanja wa Ndege

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, viongozi wa Klabu ya AS Vita juzi Alhamisi walikataa basi ambalo waliandaliwa na wenyeji wao...

READ MORE

Tengeneza Faida Kupitia Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet

Ukiwa na Meridianbet, unapata fursa ya kufurahia huku unatengeneza faida kupitia sloti ya Wild Wild West Riches. Hii sloti inayopatikana...

READ MORE

Simba Kukiwasha na AS Vita Leo, Uwanja wa Mkapa

UNAAMBIWAzege halilali leo kwani Simba wamepanga kumaliza kabisa hatua ya makundi kwa kuhakikisha wanalamba ushindi dhidi ya AS Vita na...

READ MORE

Akon Akutana na Rais Museveni, Ataka Kuwekeza Uganda

MWANAMUZIKI mashuhuri na mzaliwa Senegal ambaye pia ni raia wa Marekani mwekezaji na mhisani Aliaune Damala Badara Thiam, maarufu Akon...

READ MORE

Gigy Money Ahojiwa BASATA Kisa ‘Wife Material’ ya Omondi

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu Gigy Money amehojiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya kwenda...

READ MORE

Arsenal Kucheza na Liverpool Leo, Jumamosi Emirate Stadium

Msimu huu wa pasaka kunogeshwa zaidi na Meridianbet. Kwa kupitia tovuti ya www.meridianbet.co.tz au kwa kupiga *149*10#, unaweza kutengeneza faida...

READ MORE

Ofisa Chanjo Hanang’ Anusurika Kwenda Jela kwa Kughushi

MRATIBU chanjo wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Mkojera Philemon Mkojera amenusurika kwenda jela miezi 12 baada ya...

READ MORE

Serikali Yasitisha Bei Mpya za Vifurushi vya Intaneti

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA MATUMIZI YA VIFURUSHI VYA INTANETI zilizoanza kutumika leo Aprili 2, 2021 na mitandao yote ya...

READ MORE