×

Baba Agomea Msiba wa Mtoto Wake, Arudishiwe Uhai

BABA mzazi wa kijana Kusekwa George mkazi wa mtaa wa Ihushi kata ya Kishiri, Nyamagana Mwanza, amekataa kuhudhuria msiba na...

READ MORE

Afande Sele Aibuka “Sijafa, Nilipata Ajali” – Video

BAADA ya Kuwepo kwa Tetesi kuwa Msanii Afande Sele, kuwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kufuatia taharuki aliyozua baada ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 9, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 9, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Dkt. Kikwete Kuongoza Harambee ya Kukusanya Futari Kwa Ajili ya Yatima

Taasisi isyo ya kiserikali ya VOLUNTEERS IN DEVELOPMENT imeandaa harambee ya kuchangisha futari kwa ajili ya YATIMA waishio majumbani kwao...

READ MORE

CAG Abaini Hasara ya Bil 150 ATCL

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limepata hasara ya...

READ MORE

CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa kituo cha televisheni cha Clouds kililipwa Sh 629.7milioni...

READ MORE

Mil 311.9 Kutengeneza Barabara ya Hifadhi ya Taifa Ibanda

Dodoma. Serikali imetenga shilingi milioni 311.9 zitakazotumika kuchonga Barabara yenye urefu wa kilometa 20 katika hifadhi ya Taifa Rumanyika karagwe na...

READ MORE

Spika Ndugai: Waziri Mwambe Ana Majibu ya Hovyo, ni Jeuri

  Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wabunge kuhusu majibu aliyoyaita ya kifedhuli yanayotolewa na Waziri...

READ MORE

Mradi wa Umeme Stigler’s Unatumia Upembuzi wa Mwaka 1970

  Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa...

READ MORE

CAG: Kigwangalla Kill Challenge Mil 172 Hazikuwa Kwenye Bajeti

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonyesha Waziri ya Maliasili na Utalii aliziagiza Hifadhi za...

READ MORE

CAG: Stendi ya Magufuli Itasababisha Foleni Morogoro Road

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema ujenzi wa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo...

READ MORE

CAG: Akaunti ya Jeshi la Zimamoto Imepitisha Mili 261 Batili

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa akaunti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilitumika...

READ MORE

CAG: Wafanyakazi 1,538 SGR Hawana Vibali

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya miradi ya maendeleo inaeleza kuwa wafanyakazi wa kigeni...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Muishauri Serikali, Inunue Ndege, Isitishe

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee...

READ MORE

CAG: Wizara ya Maliasili Iliilipa Wasafi Mil 140 Bila Mkataba

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii...

READ MORE

Wasanii Wa Kike Wenye Wafuasi Wengi Youtube

YOUTUBE ni moja kati ya mitandao ambayo kwa kiasi kikubwa inatoa kipimo halisi cha kazi za wasanii. Kupitia mtandao huo...

READ MORE

Mtoto Amuua Mwenzake Kwa Risasi

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Viwege, Pugu jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na jeshi la polisi...

READ MORE

Yanga SC: Tutakimbiza KMC Dakika zote 90

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za...

READ MORE

Waarabu Waisaidia Simba iiue Al Ahly

NI kufuru ya matumizi ya fedha, ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Klabu ya Simba inaendelea kukifanya huko nchini Misri...

READ MORE