×

Binti Amuua Mpenzi Wake, Baba Yake Ajinyonga – Video

BINTI mmoja nchini Uganda amemuua mpenzi wake kwa kumkata kata mapanga akidai kuwa amesikia kuwa mpenzi wake huyo alikuwa muathirika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Februari 25, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 25, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mkutano wa 21 wa Wakuu Nchi EAC Kufanyika Feb 27

Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umepangwa kufanyika Jumamosi, 27 Februari, 2021 kwa njia...

READ MORE

Wanachuo wa SUA, Wasogezewa Tawi Jipya la Nmb

Benki ya NMB imeendelea kupanua wigo wake kwa kufungua tawi ‘NMB SUA’ katika Chuo Kikuu Cha Sokoine Mkoani Morogoro. Ufunguzi...

READ MORE

Breaking: Rais JPM Alivunja Jiji la Dar, Aipandisha Ilala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

Kocha Simba Apata Mashaka na Lokosa

NAELEZWA kuwa kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa hajavutiwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Junior Lukosa kutokana...

READ MORE

Kizimbani kwa Kulima, Kusafirisha Bangi

RAIA wawili wa  Poland, Damien Jankowski na  Krzysztof pamoja na  watanzania watatu leo Februari 24 wamefikishwa  mahakama ya hakimu mkazi...

READ MORE

Kijana Auawa Bar Kisa Mwanamke

Jeshi la Polisi mkoa wa mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo mauaji.   Tukio...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mwanaume Kumlipa Mkewe kwa Kazi za Nyumbani

MAHAKAMA ya talaka ya Beijing imemuamuru mwanaume kumlipa fidia mke wake kwa kazi alizofanya katika kipindi chote walichooana, katika uamuzi...

READ MORE

Yacouba Amerudi Huko Yanga, Kazi Mnayo

DAKTARI wa Yanga Nahumu Muganda amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kiungo wao mshambuliaji Mburkinabe Yacouba Songne yupo...

READ MORE

Manara Alivalia Njunga Suala La Senzo Na Al Ahly -Video

UONGOZI wa Simba umesema kuwa jambo ambalo amefanya Senzo Mbatha la kukutana na Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane...

READ MORE

Simbachawene Avionya Vyombo vya Habari vya Kenya

BALOZI  wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene, amevitaka vyombo vya habari vya nchini Kenya kuripoti taarifa zenye uhakika kuhusu...

READ MORE

Kilimanjaro: Nzige Wamtesa Waziri, Naibu

Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda na naibu wake, Hussein Bashe wamewasili wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro kusimamia shughuli ya...

READ MORE

Magufuli: Nimewahi Kuwa Dereva Teksi – Video

  Rais John Magufuli amesema kazi anayofanya ina changamoto zake kwa kuwa anatamani kuendesha gari lakini anazuiwa na ametoboa siri...

READ MORE

Ulikuwa Uamuzi Mgumu Kujenga Ubungo Interchange – Mkumbo

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais (Uwekezaji) ambaye pia ni mbunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo amesimulia namna uamuzi mgumu...

READ MORE

Rais Afunguka Watu Walivyokufa Ubungo – Video

  RAIS John Magufuli amesema kabla ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo ‘Kijazi Interchange’ eneo hilo lilikuwa chanzo...

READ MORE

RC Mghwira Awatuhumu Baadhi ya Polisi Rombo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki...

READ MORE

JPM Kulivunja Jiji la Dar – Video

RAIS John Magufuli amesema Serikali ina mpango wa kuvunja Jiji la Dar es Salaam na kuchagua manispaa moja katika jiji...

READ MORE

Magufuli: Machinga, Mama Ntilie Wasifukuzwe Stendi – Video

RAIS  John Magufuli amezindua Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi cha Dar es Salaam, kilichopo Mbezi-Luis, leo Jumatano, februari 24,...

READ MORE