×

Video: Mwili wa Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, Waagwa Dar Leo

 MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, umeagwa leo Machi 31, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na...

READ MORE

Saido, Mukoko Wampa Jeuri Mwambusi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kuwa kama atawapata wachezaji wake wote waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa wakiwa...

READ MORE

Namungo: Nkana Hawatoki Kwa Mkapa

KIKOSI cha Namungo kinaendelea na mazoezi makali kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Nkana kutokea...

READ MORE

Poshy: Uzazi Umeniongezea Mvuto

MREMBO ambaye umbo lake lilimfanya kumpa jina kubwa hapa mjini, Jacqueline Obadia ‘Poshy’ amesema kuwa tangu amejifungua mtoto wake, amezidi...

READ MORE

Breaking: Shamimu na Mumewe Wahukumiwa Kifungo cha Maisha -Video

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo...

READ MORE

EU Yaitupia Lawama WHO Kuchelewa Kufuatili Corona

NCHI za Umoja wa Ulaya na Marekani na Japan, zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili...

READ MORE

Mambo Kumi Usiyoyajua Kuhusu DK Mpango

DK Philip Isidor Mpango (63) ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano jana akateuliwa...

READ MORE

Bibi wa Obama Azikwa Kenya

SARAH Obama ambae ni Bibi wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama, amezikwa jana Machi 30, nyumbani kwake Kogelo, Siays...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Utata wa Kauli ya MO Dewji

MJUMBE wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya klabu ya Simba, Mulami Ng’ambi amefafanua ujumbe wa mkurugenzi wake wa bodi,...

READ MORE

Mume Ampiga Risasi ya Tumbo Mke Wake – Video

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka ( 61) mkazi wa wilaya ya Hai...

READ MORE

Mchina Akamatwa kwa Kuwacharaza Bakora Watanzania

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia raia wa China Xiao Yong (33) kwa tuhuma za kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko madereva...

READ MORE

Magufuli Kukumbukwa kwa Kuinua Elimu

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli  ametajwa kuwa mzalendo na shujaa aliyepania kulisaidia Taifa la Tanzania kwenda mbele...

READ MORE

Beyonce Avamiwa na Majambazi, Waondoka na Mzigo wa Mabilioni

MSANII maarufu wa Marekani, Beyonce ni muhanga wa tukio la uvamizi, avamiwa na kuibiwa vitu vyenye thamani ya ($1 million)...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 31, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 31, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Dkt. Mpango Azungumza na Watumishi Wizara ya Fedha

MAKAMU wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amekutana na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuwasisitiza...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Shigongo: Magufuli Alijitoa Sadaka Maisha, Uhai Wake – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, ameeleza maazimio yake kama mbunge na mwananchi wa Taifa hili katika kuenzi utendaji wa...

READ MORE

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha...

READ MORE