×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 28, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Pumzi za Moto Wikiendi Hii, Ligi Kuu ya Uingereza na Meridianbet

Ligi Kuu ya Uingereza inageuka kuwa uwanja wa mapigano wikiendi hii, mechi zimejaa mvutano, vita ya kupigania alama tatu na...

READ MORE

Askari Wajengewa Uwezo Kwa Kupatiwa Elimu Ya Uchaguzi

Jeshi la Polisi wilaya ya Arusha kwa kushirikiana na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa,...

READ MORE

DC Kigamboni Apokea Vifaa Tiba Kutoka Benki ya NMB

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya jana September 26,2025 amepokea vifaa tiba viivyotolewa na benki ya NMB ikiwa ni...

READ MORE

Global Tv Yatangaza Nafasi Za Kazi Kwa Vijana Wenye Vipaji

Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu...

READ MORE

Sanchi Aendelea Kutikisa Mitandaoni, Afungua Duka Kubwa Sinza

Mrembo maarufu na msanii wa mitindo nchini Tanzania, Surraiya Rimoy maarufu kama Sanchi (@surraiyaworld), ameendelea kuwa gumzo mitandaoni baada ya...

READ MORE

Matapeli 260 wa Kimapenzi Mtandaoni, Wakamatwa Afrika

Mamlaka katika nchi 14 barani Afrika zimewakamata watu 260 katika msako mkubwa dhidi ya uhalifu wa kimtandao unaohusisha utapeli wa...

READ MORE

Msanii D4vd Katika Tuhuma Nzito Za Mahusiano Na Msichana Wa Miaka 15

Msanii chipukizi wa muziki duniani, D4vd, amejikuta katikati ya tuhuma nzito baada ya kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Wasira Aungana na Dkt. Nchimbi Katika Mazishi ya Abbas Mwinyi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza  wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na...

READ MORE

Benki Ya Exim Ikishirikiana Na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio Ya Wanawake Kupitia Mafunzo Ya ‘Mindful Leadership’

Dar es Salaam, 27 Septemba 2025: Benki ya Exim Tanzania, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (Women Empowerment Program...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Vifaa Kinga kwa Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi

Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii, kampuni ya Meridianbet imeonesha moyo wa huruma kwa kugawa...

READ MORE

Mgogoro Wa Nyumba Msasani: Mjane Aomba Zuio La Muda

Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni...

READ MORE

Rais Samia Na Viongozi Wengine Wamfariji Dkt. Mwinyi Kufuatia Kifo Cha Kaka Yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo...

READ MORE

Yas na ZTE Wazindua BLADE A36 na A76 Kukuza Matumizi ya Simu za Mkononi na Huduma za Kidigitali

Dar es Salaam – 26 Septemba 2025: Katika jitihada za kuongeza upatikanaji wa simu za mkononi na kukuza matumizi ya...

READ MORE

Rais Mstaafu wa Ufaransa Ahukumiwa Miaka Mitano Gerezani

Paris, Ufaransa – Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Harmonize na Sanchi Wazua Gumzo, Mashabiki Wadai Ni Wapenzi

Mrembo maarufu na msanii wa mitindo nchini Tanzania, Surraiya Rimoy maarufu kama Sanchi (@surraiyaworld), anadaiwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi...

READ MORE

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa...

READ MORE

Ajira Mpya: Halmashauri ya Mbulu Yatangaza Nafasi 4 za Dereva

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi baada ya kupata kibali...

READ MORE

Mwili wa Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Umeagwa Roma – Italia

Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican, ameadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kumwaga Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa...

READ MORE