×

Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020/2021 Haya Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Laizer Ajenga Shule ya Tsh Milioni 466

BILIONEA Mtanzania, Saniniu Laizer, amekamilisha ujenzi wa shule ya Msingi mkoani Manyara katika Kijiji cha Naepo yenye thamani ya Tsh...

READ MORE

Korea Kaskazini Yazindua Kombora Jipya

TAIFA la Korea Kaskazini limezindua kombora jipya la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka kwenye manowari ambalo vyombo vya habari vya...

READ MORE

Mke wa Dr Dre Adai Mumewe Alimshikia Bastola Mara Mbili

KUNA mengi yanaendelea kuibuka toka kwenye faili la talaka ambalo Nicole Young alilifungua mahakamani kudai talaka kwa Dr. Dre. Ukiacha...

READ MORE

Yanga Kulipeleka Kombe Kwa Mama Karume

BAADA ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, Yanga inalitoa kombe hilo kwa mashabiki wa timu hiyo visiwani Zanzibar...

READ MORE

Mwanamke Amchoma Moto Mpenzi Wake

PIGA picha umelala na mpenzi wako ukiwa umemwegemea, ambaye kabla ya kulala mlikuwa na furaha tu na ghafla unaamka na...

READ MORE

Nini Kinasababisha Ajali Nyingi Za Ndege Indonesia?

Usafiri wa ndege duniani kote unaaminika kwamba ndiyo salama kuliko aina nyingine zote za usafiri! Hata hivyo, si mara zote...

READ MORE

Watorosha Madini Waonywa

NAIBU Waziri wa Madini, Profesa Shukrani Manya, amewataka wachimbaji wadogo-wadogo nchini kuachana na tabia ya kutorosha madini na badala yake...

READ MORE

Live: Ruzuku Ya Vyama Yatoka, Chadema Yalamba Mil 109, CUF Washangazwa

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Bashe Aamuru Mhandisi Apangiwe Kazi Nyingine

NAIBU  Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,  ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpagia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi: SAT, Assistant Communications Manager

Assistant Communications Manager Sustainable Agriculture Tanzania Morogoro, Tanzania Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) is a non-for-profit organization with registration number 00NGO/R/0833....

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Uganda 2021: Museveni, Bobi Wine Wachuana Vikali

TUME ya Uchaguzi nchini Uganda siku ya Alhamisi Januari 14, 2021 ilihakikisha kwamba matokeo ya moja kwa moja ya Uchaguzi...

READ MORE

Mahakamani Akituhumiwa Kumbaka Mama Mzazi

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Masoud Habibu Mrisho, mkazi wa Kata ya Goweko wilayani Uyui mkoani Tabora amepandishwa kizimbani...

READ MORE

Agizo la Waziri Mkuu Latekelezwa, Nmb Yatoa Msaada wa Mabati Tabora

    Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 400 kwa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora, lengo likiwa kuhakikisha inaunga...

READ MORE

Siri Ndoa Ya Lulu Kutofungwa Yafichuka

BADO kelele za ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mchumba wake wa siku nyingi, Francis...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 15, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 15, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Papa Francis, Papa Benedict Wapewa Chanjo ya Corona

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis (84) amepewa dosi ya kwanza ya chanjo dhidi ya  virusi vya corona...

READ MORE

Prince Dube Yupo Fiti Kuanza Kazi

Mshambuliaji kutoka nchini Zimbabwe Prince Dube atajiunga na kikosi cha Azam FC kilichoweka kambi kisiwani Unguja – Zanzibar kwa ajili...

READ MORE

Wanne Mbaroni Kukutwa na Madini

WAFANYABIASHARA wanne wa madini, Mohammed Innamula, Mubarack Mullas, Rivzi Yoonus (wote raia wa Sri Lanka) na Mtanzania mmoja, Mehboob Rattansi,...

READ MORE