×

Serikali Kugawa Saruji Kila Kata

HALMASHAURI ya wilaya ya Geita, imetenga bajeti ya shilingi bilioni 78, kwa mwaka wa fedha 2021/2022, huku ikija na mpango...

READ MORE

Bocco, Ame Warejea Taifa Stars, Kazi Ipo Leo

LICHA ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars)  kuanza vibaya kwenye michuano ya CHAN, lakini mkuu wa idara ya...

READ MORE

Mwili wa Mbunge Martha Kuagwa Leo Bungeni Dodoma

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum wa Manyara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Martha Umbulla, utaagwa leo Januari 23,...

READ MORE

Mrithi wa Mkude Athibitisha Kumalizana na Simba

NI rasmi sasa kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya DR Congo, Doxa Gikanji amethibitisha kumalizana na uongozi wa Simba...

READ MORE

Ashushiwa Kipigo na Askari Akimhudumia Mama Yake Wodini – Video

KATIKA hali isiyotarajiwa mwanamme aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi (40) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na walinzi...

READ MORE

Walimu 2 Mbaroni Wakituhukiwa Kumpa Mimba Mwanafunzi na Kuitoa

POLISI  mkoani Njombe inawashikilia walimu wawili wa Shule ya Sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe, kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 23, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 23, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kuishi Nchini Bila Kibali

RAIA wa Nchini Yemen, Edhah Nahdy (34) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 1,400,000 au kwenda jela mwaka mmoja na miezi...

READ MORE

Majaliwa Achangisha Mil. 18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh....

READ MORE

Wananchi Wakinukisha Ofisi ya Mtaa, Kisa Hiki Hapa!

  WANANCHI wa mtaa wa Mwananchi kata ya Mahina Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, wameifunga ofisi ya mtaa huo, wakishinikiza Chama...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kuwagusa Watoto Wasiojiweza

ZOEZI la kuwashika mkono watoto wanaotoka katika familia zisizo na uwezo katika Jimbo la Buchosa limezidi kupamba moto kwenye shule...

READ MORE

Dortmund Kuwalaza Njaa Wenyeji Wake? Chagua wa Kushinda Naye!

Mchaka mchaka wa soka unaendelea kuleta burudani kwa wapenzi wa soka, ligi zote zimepamba moto huku mashabiki wakiendelea kutambiana mtaani....

READ MORE

Global Yazidi Kuchanja Mbuga Kidigitali – Video

WAKATI Kampuni ya Global Publishers Ltd ikizidi kwenda kasi katika ulimwengu wa kidijitali, leo tena timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

Melania Trump Kupewa Mabilioni, Kisa ‘Interview’

MELANIA TRUMP na mumewe Donald Trump jana jioni waliondoka rasmi Ikulu ya Marekani na kuelekea kwenye makazi yao mjini Florida....

READ MORE

Simba Kumtangaza Kocha Mpya Kesho, Yawaita TP Mazembe, Al Hilal – Video

UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa unakuja na mashindano mapya ya Simba Inter Cup ambayo yatashirikisha timu tatu ambazo...

READ MORE

Rasmi! Shetta Athibitisha Kuachana na Mama Qaillah

MSANII wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal Ali maarufu kwa jina la Shetta, amethibitisha kuwa kuachana rasmi na mke wake “Mama...

READ MORE

Majaliwa Achangisha Mil.18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam, JPM, Samia Waunga Mkono

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo,...

READ MORE

Mwanaume Mwingine Afariki Akiwa Gesti na Mpenzi Wake

  Mtu mmoja ambaye jina lake halijatambulika amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke anayehisiwa kuwa ni...

READ MORE

Wazazi Buchosa Wampa Tano Shigongo Kutekeleza Ilani ya CCM

KATIBU wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sengerema, Khatwabu Mohamed, amempongeza Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE