×

Nafasi Ya Kazi MUWASA , FundiI Msaidizi

  POST ASSISTANT TECHNICIAN (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEM) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Musoma Urban Water Supply...

READ MORE

NEC Yamjibu Pompeo Kuzuia Viongozi TZ Kukanyaga Marekani

WAKATI Marekani ikitangaza kuweka vikwazo kwa baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Sarpong Abakishwa Kwa Masharti Mazito Yanga

MEFAHAMIKA kwamba, mabosi wa Yanga wamekubaliana kumbakisha mshambuliaji Mghana, Michael Sarpong kwa masharti mazito yatakayomfanya aendelee kudumu katika kikosi hicho....

READ MORE

Tozo Sh Milioni 1 kwa Magari ya Misiba Yapingwa Arusha

TOZO mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu...

READ MORE

DC Sabaya Awasweka Ndani Mke na Mme – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ametoa agizo la kukamatwa kwa mfanyabiashara, Alex Elibariki Swai, na...

READ MORE

Zuchu – Sukari (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo, Zuchu ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sukari. Isikilize hapa kwa mara ya kwanza.

READ MORE

JPM Atuma Salamu za Rambirambi kwa Mbunge Aliyefariki

RAIS John  Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na Spika wa Bunge, Job Ndugai, kufuatia kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

Shigongo Amwaga Vifaa vya Shule kwa Watoto Wenye Mahitaji – Video

  OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kamati yake ya kuhamasisha wazazi kupeleka watoto shule,...

READ MORE

Metacha Afichua Jambo Yanga

METACHA Mnata, kipa namba moja ndani ya Yanga, amesema kilicho nyuma ya mafanikio yake ndani ya kikosi hicho ikiwa ni...

READ MORE

Kahata Anusurika Panga Simba, Lampitia Morrison

UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Francis Kahata kuendelea kubaki Simba, huku Mghana, Bernard Morrison akitajwa kutemwa...

READ MORE

Trump Aibua Mapya, Sasa Kuanzisha Chama Chake Kipya

  RAIS wa Marekani aliyemaliza muda wake, Donald Trump anakusudia kuunda chama kipya cha siasa kitakachoitwa Patriot Party, baada ya...

READ MORE

Kenya Kupokea Dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona

Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa Corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo kikuu cha...

READ MORE

Sloti ya Lucky Betting Shop | Mpya Kwenye Kasino ya Meridianbet

Umewahi kubashiri kwenye michezo mtandaoni? Ubashiri wa michezo ni maarufu sana kwa mamilioni ya watu kote duniani. Hili ndilo dhumuni...

READ MORE

Tanzia: Mbunge wa CCM Afariki Dunia

MBUNGE  wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla, amefariki dunia katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa...

READ MORE

Mama Mbaroni Akidaiwa Kumuua Mtoto wa Mumewe – Video

  POLISI Wilaya ya Kinondoni inamshikilia, Pendo Carlos, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mumewe na kujaribu kuwaua watoto wengine...

READ MORE

Bweni Lililochomwa 2018 Laungua Tena, Kura Zapigwa ‘Kubaini’ Wahusika

  SEHEMU ya bweni la wavulana wa Shule ya Sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe, imeungua moto na kusababisha hasara...

READ MORE

Monalisa Ajibu Mapigo: Waangalie Wanao, Je ni wa Kwako?

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Yvonne Cherrie, maarufu kwa jina la Monalisa, amewataka wanawake ambao wapo kwenye ndoa waache kumshambulia kwa...

READ MORE

Mkenya Anaswa Akitoa Hongo Apatiwe Cheti cha Corona TZ

RAIA wa Kenya, Alexander Mwikali (42), amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Dodoma kwa tuhuma ya kutoa rushwa ya Sh....

READ MORE

Kombinesheni ya Samatta, Ozil Tabu Tupu Uturuki!

HABARI njema kwa mashabiki wa Fenerbahce ya Uturuki na wafuasi wa nahodha wa Taifa Stars, ni Mbwana Samatta ‘Samagoal’kutua kwenye...

READ MORE

Kipigo cha Stars, Makocha wa Vilabu Lawamani

KUFUATIA kipigo cha mabao 2-0 walichokipa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenye michuano ya CHAN kundi D dhidi...

READ MORE