×

Live: Diamond Anavunja Ukimya, Anazungumza Na Wanahabari Muda Huu…

 MWANAMUZIKI Diamond Platinumz, Januari 19, ameitisha mkutano na wanahabari katika ofisi zake zilizopo Mbezi jijini Dar.. ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Maalim Seif Akutana na Watendaji Wenye Ulemavu Zanzibar.

MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Janauari 19 amefanya Ziara katika Idara ya Watu wenye...

READ MORE

Kisa Morrison, Yanga Yampa Mkataba Mgumu Fiston

UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa wamempa mkataba mshambuliaji wao mpya Mrundi Fiston Abbdulrazack...

READ MORE

Mkuu wa Shule Atokomea na Michango ya Mitihani ya Form 4 & 2

Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo leo asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya...

READ MORE

Biden Kuapishwa Leo, Trump Atoa Kauli ya Mwisho Ikulu

RAIS Donald Trump amelihutubia taifa la Marekani kabla hajaondoka madarakani na kusema: “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo...

READ MORE

Trump Amsamehe Aliyekuwa Mshauri Wake Dakika za Mwisho

RAIS anayeondoka madarakani, Donald Trump, amsamehe aliyekuwa mshauri wake, Steve Bannon, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya udanganyifu. Tangazo hilo linawadia...

READ MORE

Jose Chameleone Ausaka Umeya Kampala

NYOTA wa muziki wa Hip Hop nchini Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wagombea wa nafasi...

READ MORE

Carlinhos Arejeshwa Yanga, Kuanza Mazoezi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Carlos Sténio Carlinhos anatarajia kurejea kikosini kuungana na...

READ MORE

Hotuba ya Mwisho ya Trump Kabla ya Kuondoka Ikulu – Video

Rais Donald Trump ametoa hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani akibainisha mafanikio yake kuwa ni pamoja na kutoanzisha...

READ MORE

Saa Chache Kabla ya Kuapishwa, Biden Amwaga Machozi Kaburini

RAIS mteule, Joe Biden, alielekea Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wake Donald Trump ambaye atasusia...

READ MORE

Meridian Bet Yaendelea Kutoa Msaada Kwa Jamii Na Kupokea Changamoto

Kampuni inayojihusisha na Mchezo wa kubahatisha ya Meridian Bet imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa walemavu wanaosali katika kanisa la...

READ MORE

Stars Yapambana Yachapwa 2-0 na Zambia CHAN

   HUKU Taifa Stars ikianza na wachezaji wengi ambao hawana uzoefu kwenye michuano ya kimataifa, jana ilichapwa mabao 2-0 na Zambia....

READ MORE

Esma Ampinga Mama Mondi

MAMBO ni mengi muda ni mchache! Sekeseke aliloliamsha Mama Dangote, Sanura Kassim ‘Sandra’ limechukua sura mpya baada ya dada wa...

READ MORE

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa...

READ MORE

Rais JPM Aitaka Wizara ya Madini Kutochelewesha Mradi wa Nikeli

RAIS Dkt John Magufuli amesema hatua ya kusainiwa kwa mradi wa uzalishaji madini ya Nikeli kati ya Serikali na kampuni...

READ MORE

Fiston Awapoteza Chama, Luis Bongo

LICHA ya kwamba mtambo mpya wa mabao wa Yanga, Fiston Abdoul Razak bado haujaja Bongo kwa ajili ya kuanza majukumu...

READ MORE

Yanga Yafungukia Ishu ya Kuachana na Sarpong

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado haujaachana na mshambuliaji wao, Michael Sarpong ambaye kwa sasa ameelekea nchini China kwa ajili...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 20, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 20, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE