×

Meneja wa Rubby – Hamish – Azikwa Kisutu – Video

ALIYEKUWA Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Ruby,  aitwaye Hamish ambaye wikiendi iliyopita alifariki dunia baada ya kupata ajali ya...

READ MORE

Ndugai: Kukaa Kijiweni, Kusubiri Ajira za Serikali Mtazamo Hasi

SPIKA Job Ndugai amewataka vijana kuacha fikra potofu ya kusubiri kuajiriwa na serikali, badala yake watumie fursa zilizopo kuibua miradi...

READ MORE

JPM Amteua Sivangilwa Mwengesi Kamishina wa Maadili

RAIS John Magufuli, leo, Desemba 23, 2020, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya...

READ MORE

Live: Mwili wa Dkt. Ng’wandu Waagwa Lugalo

  MWILI wa aliyewahi kuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Maswa na  Waziri, Dkt Pius Yasebasi  Ng’wandu, umeagwa leo...

READ MORE

Yondani Atua Polisi Tanzania

Aliyekuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani baada ya kukaa nje nusu msimu aamejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miezi...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Bonge la Kiungo

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imesitisha mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa Plateau United ya nchini Nigeria, Isah...

READ MORE

Dalali: Wanachama Wamenipa Milioni Nigombee Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa, wanachama zaidi ya 50 wamemfuata kumtaka kuwania nafasi ya uenyekiti ndani...

READ MORE

Yanga Yaifukuzia Rekodi Simba

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji, unaambiwa timu hiyo...

READ MORE

Bosi Azam Akiri Mambo Magumu

HATIMAYEuongozi wa Azam FC, umekiri kuwa katika wakati mgumu kutokana na timu hiyo kukosa matokeo mazuri katika michezo sita iliyopita...

READ MORE

Vodacom M-Pesa Yalipa Wateja Gawio la TZS 3.9 Bilioni.

Kampuni ya simu inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, inaendelea kuongeza thamani halisi kwa wateja, raia na nchi kwa ujumla.,...

READ MORE

Aliyewaleta Mukoko, Tuisila Awapa Yanga Jembe Jipya

HABARI ni kwamba, Kocha wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge ambaye alihusika kwenye dili za wachezaji Tuisila Kisinda...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Polisi: Wapo WaTZ Wahusika Mashambulizi Mpakani na Msumbiji

POLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.   Kamishna wa...

READ MORE

Barcelona Yamvuruga Tena Messi

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na ttmu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo...

READ MORE

TCC Yatoa Vifaa Saidizi Zaidi ya 800 kwa Watu Wenye Ulemavu

KAMPUNI ya Sigara Tanzania (TCC Plc) imetoa vifaa saidizi zaidi ya 800 kwa watu wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitano...

READ MORE

Washindi 12 Wasepa na zawadi za NMB Mastabata Siyo Kikawaida

Benki ya NMB imewazawadia washindi 12 zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya milioni 28 kwenye bahati nasibu ya mwezi...

READ MORE

Simba: Tutawapiga FC Platinun

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia wa Klabu ya Simba amesema kuwa wanaamini watashinda kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 23, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 23, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mwigulu: Mwenendo wa Mashauri, Hukumu Ziandikwe kwa Kiswahili

Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa umakini mkubwa wananchi katika tasnia ya sheria ambapo imeagiza kuanza haraka uandaaji wa sheria kwa lugha...

READ MORE