×

Mapigano Kati ya Armenia na Azerbaijan Yapamba Moto

Vikosi vya Armenia na Azerbaijan vimeshambuliana kwa maroketi na makombora wakati ambapo mapigano yanazidi kwenye eneo la Nagorno-Karabach. Armenia imesema...

READ MORE

Samatta Kuwasili Nchini Kesho Kuivaa Burundi

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta anatarajiwa kuwasili nchini kesho kujiunga na kambi ya timu hiyo inayojiandaa...

READ MORE

Bashiru Alaani Mauaji ya Makada wa CCM – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Bashiru Ally, leo Oktoba 05, 2020, amezungumza na wazee wa Zanzibar kuhusiana...

READ MORE

Kikongwe wa Miaka 80 Astaafu Soka

  Mwanasoka mbobezi wa uingereza atastaafu soka baada ya kucheza mechi yake ya mwisho ya kimashindano siku ya ijumaa akiwa...

READ MORE

Hatimaye Hukumu Shambulio la Westgate Kutolewa

MAHAKAMA moja nchini Kenya inatarajiwa kutoa uamuzi wa kesi inayohusisha wanaume watatu walioshtakiwa kwa kuwasaidia wanamgambo wenye silaha kushambulia jengo...

READ MORE

Mwalimu Acharazwa Bakora na Afisa Elimu Kata

UONGOZI wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Mlele umelaani vikali kitendo cha Mwl. Jiyabo Ng’wanzalima kucharazwa viboko na...

READ MORE

Hofu Yatanda Hali ya Trump!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, anaendelea kupewa uangalizi wa karibu akiwa hospitali ambako anapokea matibabu ya Covid-19. Kuna tashwishi kuhusu...

READ MORE

Kipigo cha Historia, Aston Villa 7 – 2 Liverpool

HISTORIA imeandikwa kwa timu ambayo ilikuwa imekaribia kabisa kushuka daraja msimu uliopita wa 2019/20 kuwafunga mabingwa watetezi wa Ligi Kuu...

READ MORE

Rais JPM Apokea Utambulisho wa Mabalozi – Video

RAIS John Magufuli, leo Jumatatu, Oktoba 5, 2020, amepokea hati za utambulisho wa mabalozi wa Marekani na Vietnam nchini.  ...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Ajali ya Daladala na Lori Dar – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyohusisha daladala na lori la mchanga katika...

READ MORE

Kipchoge Ashindwa Kutetea Taji London Marathon

Eliud Kipchoge bingwa wa mbio za marathon ameshindwa kutetea taji lake la London marathon Jumapili baada ya kuishiwa nguvu katika...

READ MORE

Zahera: Tunaleta majembe mapya, mtatukoma

MKURUGENZI wa Ufundi wa Klabu ya Gwambina, Mkongomani, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa yupo kwenye mipango ya kukamilisha usajili wa nyota...

READ MORE

Benki ya NMB Yaja na Huduma Tatu za Kibabe

Benki ya NMB imezindua huduma mpya tatu za kidigitali zenye lengo la kurahisisha mawasiliano kati yao na wateja na kuwapatia...

READ MORE

Fisi Aliyeua Mtoto, Kujeruhi Wawili Auawa

FISI aliyeua mtoto na kujeruhi watu wazima wawili jana, Septemba 4, 2020,  mchana katika Kijiji cha Mbogo, Wilaya ya Itilima...

READ MORE

Bangi Yamuweka Matatani Lady Jaydee

MSANIImkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina...

READ MORE

Breaking: Pata Habari Popote Ulipo, Pakua Global App

  TUMEKURAHISISHIA KUPATA HABARI! Kupitia App etu mpya ya GLOBAL PUBLISHERS, inayopatikana kwenye Android na iOS, tumekurahisishia kupata Habari za...

READ MORE

Akiwa Hoi Anaumwa, Mzee Kiki Aongea kwa Tabu – Video

GLOBAL TV imemtembelea msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘Kitambaa Cheupe’, Mzee King...

READ MORE

Shigongo Asitisha Kampeni Baada ya Msiba Ghafla – Video

Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi, Eric Shigongo James amesitisha kampeni kwa muda wa saa kadhaa baada...

READ MORE

Wawa Aapa Kula Sahani Moja na Lamine

    BAADA ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza na kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, beki...

READ MORE

Sarpong: Mabeki Wananipania Sana

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amekiri kuwa amekuwa akipata wakati mgumu katika kila mchezo wa ligi kuu kutokana kukamiwa...

READ MORE