×

Hali ya Kibwana Shomari Yaanza Kutengamaa

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa beki wao wa kulia mwenye jukumu la kumwaga mipira kati kwa sasa anaendelea vizuri baada...

READ MORE

Ajira Mpya: Orodha ya Walimu 13,000 Waliopangiwa Vituo vya Kazi

Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu...

READ MORE

Mdee, Wenzake Waingia Mitini, Wadaiwa Kuwahi Mahakamani

WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili...

READ MORE

NEC: Majina ya Mdee, Wenzake Tuliletewa na Mnyika

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ilifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo...

READ MORE

Maradona Azikwa Chini ya Ulinzi Mkali

  GWIJI wa soka wa Argentina, Diego Armando Maradona, aliyefariki dunia juzi Novemba 25, amezikwa na watu wachache, jana Alhamisi...

READ MORE

Kamati Kuu Chadema Yaanza Kuwajadili Mdee, Wenzake

KIKAO cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kwa ajili ya kuwajadili wanachama 19 walioapishwa Novemba...

READ MORE

Exclusive: Official Nai Awakera Tena

MWANAMUZIKI Nai amepiga stori na Global Tv Online na kutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Sio Saizi Yao na kufafanua...

READ MORE

Mrithi wa Aristica Cioaba Huyu Hapa, Apewa Mechi Mbili

BAADA ya Arstica Cioaba kufutwa kazi ndani ya Klabu ya Azam FC, jana Novemba 27 mrithi wa mikoba yake ni...

READ MORE

‘Mavituzi’ ya Carlinhos Yamuacha Hoi Kaze

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sifa alizonazo kiungo wake mshambuliaji, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’.   Carlinhos raia...

READ MORE

Ujerumani Yaipa Barabara Jina la Waziri Mwanamke Tanzania

MADIWANI katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja alilopatiwa kwa heshima gavana mmoja...

READ MORE

Simba Yapewa Ulinzi wa Kutosha Nigeria, Yaanza Mazoezi Rasmi

UONGOZI wa Simba Sc umeweka wazi kuwa wamepokelewa vizuri nchini Nigeria baada ya kuweka maandalizi ya awali na timu hiyo...

READ MORE

Ndugai: Nitawalinda Wabunge Viti Maalum CHADEMA

SPIKA wa Bunge la 12, Job Ndugai, amesema, kanuni za Bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao, hivyo ...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Rayvanny… Walivyowasili Kahama – Video

WANAMUZIKI kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na CEO, Diamond Platnumz, wamewasili salama Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Novemba...

READ MORE

Yusuph Mhilu: Tumeanza Kujenga Hali ya Kujiamini

YUSUPH Mhilu mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Meck Mexime amesema kuwa taratibu...

READ MORE

Ijue Global Group Ilipotoka na Ilipo Sasa Kwenye Ulimwengu wa Kidijitali

KAMPUNI ya Global Group inamiliki, miongoni mwa makampuni mengine, chombo cha habari chenye nguvu na umaarufu, ndani na nje ya...

READ MORE

Mganda Atajwa Kuwa Mbadala wa Fraga Simba

  TADEO Lwanga, kiungo anayecheza soka la kulipwa nchini Misri ndani ya Klabu ya Tanta anatajwa kuingia kwenye rada za...

READ MORE

“Tupinge Ukatili Wa Kijinsia, Mabadiliko Yanaanza na Mimi”

Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yameanza Novemba 25 ambapo yatadumu hadi Disemba 10, mwaka huu. Wanaharakati...

READ MORE

BAWACHA Waandamana Wataka Mdee, Wenzake Watimuliwe

BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wameandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo...

READ MORE

Tecno Camon 16 Waja na Zawadi Kwa Wateja Ikinogeshwa na App ya Vskit

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tecno katika kuelekea msimu wa Sikukuu ya Krismasi imekuja na ofa kabambe kwa wateja...

READ MORE

Nafasi za kazi 6 MDH , Afisa Takwimu

  JOB TITLE: Data Officer (06 Positions) WORK STATION:  Ilala, Temeke and Kigamboni Municipal Councils REPORTING TO: Health Facility In-charge...

READ MORE