BADO taji la Umalkia wa Rap duniani analimiki Nicki Minaj, uthibitisho tumeupata usiku wa kuamkia leo ambapo zilitolewa tuzo za...
READ MORERAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, huenda akafunguliwa mashtaka ya jinai baada ya kukaidi amri ya mahakama kurejea...
READ MOREMSANII na mwanamitindo maarufu nchini Nigeria, Pretty Mike, aliibua gumzo kubwa katika jamii alipohudhuria harusi ya mwigizaji Williams Uchemba,...
READ MOREMCHEZAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva aliyesajiliwa na Wydad Casablanca ya Morocco akitokea Difaa El Jadid, amesema kuwa anaamini...
READ MOREWATU wanane wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya gari yenye namba za usajili T.471 DGC, Toyota Hiace inayofanya safari zake...
READ MOREBEKI wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns ya nchini humo, Anele Ngcongca...
READ MOREWAKATI juzi Jumamosi Simba ikiibuka na ushindi mnono wa mabao 0-7 dhidi ya Coastal Union, nahodha wa kikosi hicho, John...
READ MOREBERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba, ambaye alisajiliwa kwa dili la miaka miwili baada ya kumalizana na Yanga, amepata mbabe...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, amefunguka chanzo cha kiungo wake mkabaji, Jonas Mkude kutokuwemo kwenye mechi...
READ MOREHABARI mbaya kwa wapinzani wa Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Plateau United ya Nigeria ni kuwa, straika...
READ MORETUSI la kishari la msanii Jacqueline Wolper Massawe alilomvurumisha mpenzi wake wa zamani Rajabu Abdul Kahali ‘Harmo’ huwenda likamtia matatani,...
READ MOREUNAAMBIWA bila shilingi milioni 958 za Kitanzania, Simba haiwezi kumpata beki wa kimataifa wa Burundi anayekipiga nchini Afrika Kusini katika...
READ MORERAIS wa shirikisho la soka barani AfriKa (CAF), Ahmad Ahmad, amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka mitano na shirikisho la...
READ MOREWANANCHI wa vitongoji vitano vya Majengo, Nkalango, Mabambasini, Bombani na Kampuni katika Kijiji cha Ibutamisuzi kata ya Mbutu wilayani Igunga...
READ MORENICOLAS SARKOZY, rais wa zamani wa #Ufaransa anayetuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi kwenye kampeni za mwaka...
READ MOREMANCHESTER City ni kama wameongezewa nguvu katika mbio zao za kumshawishi Lionel Messi kuhamia kwenye timu yao hiyo, hatua...
READ MOREJUMUIYA ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa wito kwa Serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyoanza kutekelezwa...
READ MOREMAMIA ya waandamanaji wanaopinga Serikali ya GUATEMALA wamechoma moto sehemu ya jengo la Bunge wakipinga Bbjeti iliyopitishwa siku chahe zilizopita...
READ MORECAMEROON inatarajia kufanya uchaguzi Desemba 6, mwaka huu licha ya kuwepo tishio la mapigano kutoka kwa makundi yanayotaka kujitenga na...
READ MOREMANCHESTER United ipo kwenye mchakato wa kuachana na wachezaji wanne katika dirisha dogo la Januari, mwakani ili kubalansi kwenye masuala...
READ MORE