×

Wachezaji wa Simba Walioitwa Timu za Taifa

KLABU ya Simba imewataja wachezaji wake wa kimataifa ambao wameitwa kwenye timu zao za Taifa ambazo wikiendi ijayo zitacheza michezo...

READ MORE

Taifa Stars Kukiwasha na Tunisia Novemba 13

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), itavaana na Tunisia Novemba 13, 2020, kwenye mechi ya kufuzu AFCON, kundi “J”...

READ MORE

Magufuli, Chakwera Wazungumzia Kushirikiana Kiuchumi

  RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, anatarajiwa kukaa nchini  siku tatu ambapo atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Rais John...

READ MORE

Ushirikiano Wa Global Na Voice Of America Wachukua Sura Mpya – Video

Kumekucha! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kufungwa na kuwashwa rasmi kwa satelite ya kituo kikubwa cha matangazo ulimwenguni, Voice of...

READ MORE

Shigongo: Mniamini Tuibadilishe Buchosa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amewasisitiza kwamba wamwamini na kumpa kura za...

READ MORE

VOA Duniani Leo: Wabunge, Wananchi Wamuomba Rais Kuimarisha Amani

HABARI za Kimataifa kutoka Sauti ya Amerika (VoA) Oktoba6, 2020, Mgombea wa urais wa Marekani kupitia Chama cha Democratic, Marekani...

READ MORE

Kuelekea Muendelezo wa UEFA Nations League

Hispania Kupimana Nguvu na Ureno! Katika mchezo wa kirafiki, Hispania watawakaribisha Ureno ukiwa ni mchezo wa kupimana nguvu kuelekea Muendelezo...

READ MORE

Magufuli Ampa Pole Zitto Kabwe

RAIS   John Magufuli, amempigia simu mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe, kwa lengo la kumjulia hali na...

READ MORE

Rais Magufuli Ampokea Rais wa Malawi, Mhe. Chakwera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amempokea Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt Lazarius Chikwera aliyeongozana...

READ MORE

Nafasi ya kazi MSD, Contract compliance and enforcement officer

POST CONTRACT COMPLIANCE AND ENFORCEMENT OFFICER – 1 POST POST CATEGORY(S) LEGAL EMPLOYER MEDICAL STORES DEPARTMENT (MSD) APPLICATION TIMELINE: 2020-10-02...

READ MORE

Breaking: Mechi Ya Yanga V Simba Yapelekwa Mbele

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)leo Oktoba 7, 2020 imefanya mabadiliko katika mchezo Na. 61 wa Ligi Kuu ya Vodacom...

READ MORE

Kesi ya Mr Kuku Yapigwa Kalenda

Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu ‘Mr Kuku’, anaendelea kusota gerezani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kutakatisha Sh bilioni 17 kwa kuendesha...

READ MORE

Bia ya Serengeti Lager Yasaini Mkataba wa Bil 3 Kuidhamini Taifa Stars

Bia ya Serengeti Premium Lager (SPL) leo imeingia makubaliano na kusaini mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 7, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 7, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kafara ya Harmo Yaanza Kujibu

Kufuatia ripoti zilizoanza kutoka wiki iliyopita za mafanikio ya wasanii kumtaja staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, kuwa miongoni...

READ MORE

Serikali Yatoa Angalizo Dabi ya Simba na Yanga

Serikali imesema imejiandaa kukabiliana na mianya yote ya upigaji iliyokuwa ikiwanufaisha wachache na kusababisha Serikali kukosa mapato stahiki katika tozo...

READ MORE

Baba Mondi Ahaha Kumtoa Jela Amber Rutty

BABA mzazi wa mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amesema amepanga kutafuta fedha...

READ MORE

Mondi, Kiba Jino kwa Jino

JINO kwa jino kati ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi na Ali Kiba ‘King Kiba’ siyo uadui, ni uhasimu...

READ MORE