×

Raia 7 wa Kigeni Mbaroni kwa Utapeli Mtandaoni -Video

JESHI la Polisi nchini  leo, Septemba 12, 2020,  limesema linawashikilia watu saba ambao ni raia wa nchi za kigeni kutokana...

READ MORE

Video: Dkt Mwinyi Azindua Kampeni Za CCM Zanzibar

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametaja mambo atakayotekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa katika...

READ MORE

Samatta: Msimu Huu Nitaandikwa na Kuimbwa Villa

HATIMAYE miamba 20 kunako Ligi Kuu England ‘Premier League’, leo inatarajia kuanza safari ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo kwa...

READ MORE

Kocha Simba Ashtuka, Fasta Awabadilishia Mfumo Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameuangalia Uwanja wa Jamhuri wa mkoani Morogoro na fasta akachukua maamuzi ya kubadili...

READ MORE

Poshy: Wanawake Wanaongoza Kwa Chuki

Mrembo ambaye alijizolea umaarufu hivi karibuni baada umbo lake kuonekana kuwavutia watu mbalimbali bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amesema alichojifunza kwenye...

READ MORE

Jezi Mpya Yanga Zaweka Rekodi Ya Mauzo

NYOMI la watu lilijitokeza kwenye utambulisho wa jezi mpya za Yanga jana makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo Mitaa ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

NEC Yatoa Uamuzi Wa Rufaa 60 Za Wagombea Ubunge Na Udiwani -Video

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...

READ MORE

Kofia Ya JPM Kumpa Mondi Mil 600, Mkasa Mzima Upo Hapa

Kitendo cha rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kumpa staa wa muziki barani afrika, Nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ kofia yake,...

READ MORE

Mama Cookie Aapa Kuzaa Mpaka Baasi!

Mwanamama mkali kunano Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ‘Mama Cookie’, ameapa kuzaa mpaka baasi, huku akitanabaisha kuwa, kikubwa anachoangalia...

READ MORE

Lissu Amuweka Njia Panda Bernard Membe

Mbio kuelekea Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika oktoba 28, mwaka huu, zinazidi kushika kasi, huku mgombea urais kupitia Chama cha Chadema,...

READ MORE

Jilipe na Meridianbet Liverpool Akikiwasha na Leeds United

Kwa wapenzi wa soka, tulikuwa na hamu sana ya kuona msimu wa soka unarejea. Kuna mechi kibao Ligi Kuu Uingereza,...

READ MORE

Country Boy Atinga Na Ndinga Ya Kifahari Kwenye Shoo Yake -Video

 Msanii mpya wa lebo ya Konde Gang, Country Boy, alivyowasili katika usiku wake uliopewa jina la ‘THE FATHER NIGHT’…....

READ MORE

Benki ya NMB yadhamini CDF Trophy Cup 2020 kwa Sh. Mil. 40

  Benki ya NMB imetangaza kudhamini Michuano ya Gofu – Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF Trophy Cup 2020’, inayotarajia...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 12, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 12, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Dili la Suarez na Juventus Limeisha

MERIPOTIWA kuwa mabingwa wa Serie A, Juventus, watakuwa wakimlipa Luis Suarez kiasi cha euro 3m kwa mwaka na bonasi kiasi...

READ MORE

Kumekuchaaa… Askofu Gwajima Kuzindulia Kampeni Bunju A, Jumapili

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM, Askofu Josepaht Gwajima anatarajia kuzindua kampeni zake keshokutwa Jumapili kwenye viwanja vya...

READ MORE

ZEC Yamteua Maalim Seif Kugombea Urais

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Wasafi FM Yafungiwa siku 7 na TCRA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba baada...

READ MORE