×

Kitilya na Wenzake Walipa Bil 1.5, Waachiwa Huru

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga amewafutia Mashtaka yote Mkurugenzi wa Kampuni ya Ushauri wa Uwekezaji na Upatikanaji wa Fedha,...

READ MORE

Morrison, Mugalu Wampasua Kichwa Sven

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji...

READ MORE

Jeff Bezos Awa Tajiri wa Kwanza Duniani Kufikisha USD Bil 200

MKURUGENZI wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos,  amekuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola milioni 200. Imeelezwa...

READ MORE

Mzee Yusuf: Tulieni Taarab Inarudi Mahali Pake!

MWANAMUZIKI mkubwa wa Taarab hapa Bongo, Mzee Yusuf ‘Mfalme’ amesema kurejea kwake kutaufanya muziki huo kurejea mahali pake kama zamani....

READ MORE

Namungo Waahidi Sapraizi Ngao ya Jamii

UONGOZI wa Namungo FC, umeweka wazi kuwa ndani ya wiki hii wamepanga kuwafanyia sapraizi mashabiki wake waliopo Arusha kwa kutambulisha...

READ MORE

TCRA Yazifungia Clouds TV, Clouds FM Siku 7

MAMLAKA  ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Clouds FM (Redio) kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba...

READ MORE

Messi Atua Man City

VYOMBO vikubwa vya habari nchini Hispania vimeripoti kwamba baba mzazi wa Lionel Messi, mzee Jorge Messi, amewasili katika jiji la...

READ MORE

S2Kizzy Aanika Ugumu Kufanya Kazi na Mondi!

KWENYE kundi la watayarishaji wa muziki (producers) Bongo na wenye ubunifu na kipaji cha hali ya juu, huwezi kumwacha Zombie....

READ MORE

Wafanyakazi Waandamana Wakidai ‘Nyongeza ya Covid-19’

Wafanyakazi katika sekta ya afya pamoja na elimu jijini Johannesburg nchini afrika kusini wameandamana nje ya makao makuu ya jengo...

READ MORE

Rayvanny Afungukia Kuficha Uhusiano Mpya!

STAA wa Bongo Fleva na memba wa Lebo kya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amefunguka sababu ya kuficha...

READ MORE

Simba Yapangua Ratiba ya Yanga, Wiki ya Mwananchi

UELEKEA mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Simba na Namungo utakaopigwa Agosti 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri...

READ MORE

Aliyeua Waumini 51 Misikiti 2 New Zealand Jela Maisha

MSHAMBULIAJI ambaye aliwaua kwa bunduki waumini 51 kwenye misikiti miwili nchini New Zealand amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kwa...

READ MORE

Marekani Yatengeneza Gari Linalopaa Kama Ndege

HATIMAYE magari yenye kupaa yamewasili!  Baada ya jitihada za kuunga mashine mbalimbali na kufanya majaribio kadhaa, Jeshi la Anga la...

READ MORE

Carlinhos Apewa Jezi Ya Sibomana Yanga SC

CARLOS Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo maarufu kwa jina la Carlinhos, ndani ya Yanga amekabidhiwa jezi namba 11 iliyokuwa ikivaliwa...

READ MORE

TCAA Yazuia Mashirika 3 ya Ndege Kenya Kufanya Safari TZ

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezizuia kampuni tatu za ndege kutoka Kenya, ambazo ni Air Kenya Express, Fly...

READ MORE

Yanga Yampiga Chini Cedric Kaze, Kutangaza Kocha Mpya

KLABU ya Yanga imebadilisha uamuzi wa kuendelea na kocha Cedric Kaze ambaye alitarajiwa kuwasili nchini kuungana na miamba hiyo ya...

READ MORE

Messi: Mimi ni Mchezaji Huru, Niko Radhi Kuondoka!

LEGENDARI wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ambaye ameingia katika gumzo mitandaoni na vyombo...

READ MORE

Karibu Ucheze Crazy Horses Kwenye Kasino ya Meridianbet

Tunaongelea farasi halisi? Hapana, lakini ni nzuri kuliko farasi halisi! Katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridian bet utaupata mchezo huu...

READ MORE

Kimenuka Barca! Mashabiki Wavamia Camp Nou ‘Messi Asiondoke’

  KIMENUKA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya mashabiki ya Barcelona kuacha vitanda vyao usiku kuamkia na kuingia...

READ MORE

Shamsa, Siwema Ushoga Pambe!

STAA wa fi lamu za Kibongo, Shamsa Ford na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Elibariki Emmanuel ‘Nay wa...

READ MORE