×

Samatta: Siondoki Aston Villa

  NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa inayoshiriki...

READ MORE

 Azam FC Yatamba Ipo Fiti Kuwania Ubingwa

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi mipango yao ya kugombania ubingwa msimu ujao mara baada ya kufanya usajili ambao unawapa...

READ MORE

Mr Blue na Mkewe Wapata Mtoto

MIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia...

READ MORE

Bwana Misosi: Harmonize Hawezi Kunilipa – Video

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Bwana Misosi, amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Kagere Kumtwanga Kocha Sven

UONGOZI wa Klabu ya simba umesema kuwa taarifa zinazoenea mitandaoni na kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa mchezaji...

READ MORE

Dewji Amfanyia Hili Shabiki wa Simba Aliyechaniwa Jezi…

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Mo Dewji ametimiza ahadi yake ya kumtafuta shabiki wa Klabu...

READ MORE

Dada wa Shilole Asimulia Alivyoteseka Kuolewa na Harmorapa

DADA wa msanii Shilole ambaye amejitambulisha kwa jina la Khadija Ziota ameeleza kuwa amepitia wakati mgumu na kuteseka wakati anataka...

READ MORE

Lamine Moro Bado Majanga

BEKI wa Yanga, Lamine Moro, huenda akaukosa mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la goti alilolipata hivi karibuni kwenye mazoezi...

READ MORE

Bobi Wine Ashitakiwa Akidaiwa Kudanganya Umri Wake

MAHAKAMA nchini Uganda imemtaka mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kufika mbele yake kujibu tuhuma za kutoa taarifa...

READ MORE

Watu 90 Wafariki kwa Mafuriko

TAKRIBAN watu tisini wamefariki na wengine karibu  400,000 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan.   Umoja wa Mataifa unasema...

READ MORE

KMC Kuanza na Majembe Mapya 11

TIMU ya KMC yenye maskani yake Kinondoni itaanza msimu wa 2020/21 ikiwa na maingizo mapya 11 ndani ya kikosi cha...

READ MORE

Precision Yasitisha Safari Zake Kenya

SHIRIKA  la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo....

READ MORE

Yanga Hii ya Kibabe Sana

YANGA ya msimu ujao itakuwa ni ya kibabe sana. Hivyo ndivyo wanavyotamba mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuishuhudia katika...

READ MORE

Bosi Simba Awazungumzia Kisinda, Morrison

BAADA ya dirisha la usajili la Ligi Kuu Bara kufungwa rasmi Agosti 31 mwaka huu, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu...

READ MORE

Germany vs Spain Kuzindua Msimu wa UEFA Kesho

Ligi ya Mataifa ya Ulaya – UEFA Nations Ligue inarejea tena mwezi huu. Mchezo wa kwanza kuwakutanisha miamba ya soka...

READ MORE

Magufuli Aahidi Neema Zaidi Singida – Video

  MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amesema shilingi bilioni 470.4 zimetumika katika miradi...

READ MORE

Watu 16 Kortini kwa Mauaji ya Kada wa CCM Songwe

WATU 16 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Songwe juzi, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya anayedaiwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

JPM: Matusi Nayotukanwa Nayafurahia, Wanamchukia Kigwangalla kwa Sura – Video

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

READ MORE

Nyosso Jeshini, Ngassa Daraja la Kwanza Ndanda FC

ALIYEKUWA beki wa zamani wa klabu za Simba, Coastal Union, Mbeya City na Kagera Sugar, Juma Said ‘Nyosso’ amesalia kwenye...

READ MORE