×

Matokeo Kidato cha Sita 2020 Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA)  Agosti 21, 2020, limetangaza matokeo ya kidato cha sita kutokea visiwani Zanzibar ambapo kulikuwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 22, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Lucy Mgina: Tutawachapa Nyingi Wanawake Wa Ligi Kuu

STRAIKA wa kutumainiwa wa kikosi cha timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Wanawake Tanzania Bara, Lucy Mgina (Chicharito), amefunguka...

READ MORE

Hasunga Achukua Fomu ya Ubunge

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Jembe Jipya La Kazi Latua Kumalizana na Yanga

RASMI mshambuliaji Michael Sarpong raia wa Ghana leo Agosti 21 ametua Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao...

READ MORE

Majaliwa Achukua Fomu ya Ubunge Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Ruangwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Frank...

READ MORE

Lori la Mafuta Lagonga Mti na Kupinduka Shinyanga

WATU wawili wamejeruhiwa baada ya Lori la mafuta gari lenye namba za usajili T674 BAA aina Tanker lenye tela lenye...

READ MORE

Nafasi za Kazi 60 e-Government Authority (eGa) August, 2020

ICT OFFICER GRADE II (STANDARDS AND COMPLIANCE) – 4 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES Plan, design, develop and implement e-Government Standards...

READ MORE

Silinde Achukua Fomu Kuwania Ubunge TUNDURU

Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduma, David Silinde leo Ijumaa Agosti 21,2020 amechukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Kuna Tofauti Kubwa Kati ya Resume, Profile, CV, Biography na Autobiography

Kuna swali nimeulizwa na watu wengi sana na nimeona nilifafanue. Swali; Mbona CV yako ni ndefu sana kurasa 51 nani...

READ MORE

Breaking: Wanane Wafariki Ajalini Muleba, Kagera

WATU wanane, akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja ambaye mama yake amenusurika, wamepoteza maisha mkoani Kagera na wanne hali...

READ MORE

Masele Aaga Rasmi Bunge la Afrika

MAKAMU wa Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Stephen Julius Masele,  ameaga rasmi Bunge la Afrika (Pan-African Parliament –...

READ MORE

Ubungo: Prof. Kitila Achukua Fomu ya Ubunge NEC

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Kitila Mkumbo  na Mgombea ubunge wa Jimbo la...

READ MORE

Manara Aponda Usajili wa Tuisila na Mukoko Tonombe -Video

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anawapenda mashabiki wa Yanga kwa kuwa ni wavumilivu ila kitendo cha kumbeba...

READ MORE

Mzee Yusuf Asimulia Walivyoanza Kula Wali

MFALME wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuf, amesema kuwa alipojiunga na Bendi ya East Africa Melody Taarab akiwa mpiga...

READ MORE

Membe Awapa Neno Waliokatwa CCM kwa Ajili Yake

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, amewakaribisha ndani ya chama hicho...

READ MORE

Video: Simba Yaagiza GPS Za Wachezaji, Kuwafuatilia Kila Hatua

MWENYEKITI wa Bodi ya Klabu ya Simba na Mwekezaji Mohammed Dewji amesema ameagiza vifaa kwa ajili ya kuwamonitor wachezaji wake...

READ MORE

Manara: ”Wasanii Wakubwa Wanaomba Kuwepo Simba Day Kesho” -Video

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 21, 2020 amefika katika mjengo wa Global Group uliopo Sinza...

READ MORE