×

Meja Jenerali Gaguti Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

Pwani, 28 Juni 2025: Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kwenye Kongamano La Amani, Mwanza

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 29, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kongamano la Afrika Mashariki la...

READ MORE

Wakili Ajitosa Ubunge Jimbo la Mbagala 

Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa...

READ MORE

Yanga Yatangaza Kulitaka Kombe La Crdb, Kukiwasha na Singida Black Stars Fainali leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umeweka wazi dhamira yao ya kuhakikisha wanarejesha nyumbani Kombe la CRDB Federation Cup, wakisisitiza...

READ MORE

Mazishi Ya Rais Mstaafu Edgar Lungu Yasitishwa Afrika Kusini

Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mpango wa kumzika Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu katika hafla ya faragha muda...

READ MORE

Boti ya Uokozi Yawashtua Mwanza! Wananchi Waipokea kwa Shangwe – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendeleza juhudi za kuboresha usalama wa usafiri wa majini...

READ MORE

Kenya: 16 Wameuawa Kwenye Maandamano Kenya

Watu kumi na sita wamdaiwa kuuawa na polisi wakati wa maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali nchini Kenya siku ya...

READ MORE

Kazi ipo! Hamisi Slim wa Equator Grill Achukua Fomu Kuwania Udiwani

Dar es Salaam 28 Juni 2025: Kazi ipo! Hivyo ndivyo unaweza kusema kufuatia makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua...

READ MORE

NBC ‘Yawanoa’ Wataalam Teknolojia ya Huduma za Fedha ili Kuchochea Uchumi Jumuishi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha semina maalum kwa ajili ya wadau wa Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za...

READ MORE

Furaha Dominic Aliyekubalika na Wajumbe Kawe Airudia Tena Kawe Yake

Kama kuna kitu kilichowaumiza watu wa Jimbo la Kawe haswa wajumbe waliompitisha kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 ni kumchagua...

READ MORE

Pruuu Mpaka Michenzani!

Ilikuwa ni zamu ya Meneja wetu wa Tawi la Michenzani, Ahmad Aboubakar kulipokea kombe kwa bashasha kutoka kwa Brand Ambassador....

READ MORE

Baadhi Ya Wagombea Waliochukua Fomu Ya Kuwania Ubunge Mkoa Wa Kagera

Mkurugenzi wa kiwanda cha kusindika Kahama cha AMIMZA bw, Amir Hamza amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwenye chama cha mapinduzi...

READ MORE

Ahadiel Naye Amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi uongozi...

READ MORE

Makonda Achukua Fomu Ya Ubunge Jimbo La Arusha Mjini Kupitia CCM

Arusha, Jumamosi, 28 Juni 2025 – Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Dar es Salaam, Paul Makonda, ameibuka kwa...

READ MORE

Sekretarieti Ya Halmashauri Kuu CCM Yakutana Kufuatilia Mchakato Wa Fomu Za Uteuzi

Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Kada wa CCM Ahadiel Achukua Fomu Kugombea Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu (kulia) amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi...

READ MORE

Ajali Mbaya Yahusisha Mabasi Mawili Yaliyogongana Uso Kwa Uso Same

Same, Kilimanjaro – Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo katika eneo la Sabasaba, kata...

READ MORE

Mgao wa Bilioni 1.5 Unakusubiri na Lucky Rush Leo

Je unajua kuna mzigo mkubwa 1.5 wa mgao ambao unakusubiri wewe tuu uweke dau lako na uingie kwenye mashindano ya...

READ MORE

Rwanda na DRC Watia Saini Mkataba wa Amani Washington

Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimetia saini makubaliano ya kihistoria ya amani jijini Washington, Marekani, katika hatua...

READ MORE

Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28...

READ MORE