×

Mjadala wa UDSM Watoa Wito wa Kuchochea Upya Uamsho wa Afrika

Kama sehemu ya matukio ya wiki nzima kuelekea Hotuba ya 15 ya Siku ya Afrika, Taasisi ya Thabo Mbeki kwa...

READ MORE

Meridianbet Yaendelea Kugusa Mioyo – Yafika Makumbusho Na Mwananyamala Kutoa Msaada Kwa Familia Zenye Mahitaji

Katika dunia ambayo changamoto za maisha zimekuwa kubwa kwa familia nyingi, kuna matumaini mapya yanayozaliwa kupitia vitendo vya huruma. Leo,...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latangaza Kuwasaka Waliosambaza Taarifa za Upotoshaji Kupitia Mtandao wa X

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa ya kuonya dhidi ya kusambazwa kwa taarifa za uongo, za upotoshaji na zisizo...

READ MORE

Malaika Cute Aonyesha Maisha Ya Kifahari Yanayoshangaza Mitandaoni!

Sosholaiti maarufu kutoka Tanzania, Malaika Cute ameendelea kuvutia macho ya wafuasi wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuonyesha mtindo...

READ MORE

Makalla: Rais Samia Amemuenzi Hayati Magufuli Kwa Kukamilisha Miradi Yote

. Ametaja ukamilishaji ujenzi hospitali ya Kanda, Daraja la kigongo Busisi na meli kubwa Katibu Wa NEC, Itikadi, Uenezi na...

READ MORE

CBE Yajivunia Mchango wa Wahitimu Wake

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Imejipanga Kudhibiti Magugumaji Ziwa Victoria

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa...

READ MORE

Mwanajeshi Aangua Kilio Baada ya Mkewe Kumpiga Tukio Zito

Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio baada ya kupokea...

READ MORE

Millen Magese Apewa Kibali Kuandaa Miss Universe 2025 

Dar es Salaam 19 Mei 2025: Baraza Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa baraka na kibali kwa Mwanamitindo wa Kimataifa na...

READ MORE

Babu Alalamikia Shamba Lake Kugeuzwa Machimbo Holela ya Mchanga

Mzee Francis Muturi Maigua na mkewe, Adventina Rweyemamu Maigua wakazi wa Mbande, jijini Dar wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa awataka wavuvi Buchosha kuunda vikundi wasaidiwe

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewataka vijana wa Jimbo la Buchosha ambao ni wavuvi kuunda vikundi ili waweze kusaidiwa kwa zana...

READ MORE

Rais Dk. Samia Azindua Sera Ya Mambo Ya Nje Ya Mwaka 2001 (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001(TOLEO LA...

READ MORE

Salim Mwalimu, Devotha Minja, Kigaila Rasmi Wapewa vyeo Chaumma – Video

Waliokua wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) na kundi la G55 ambao walijiengua kutoka Chadema hivi karibuni, leo wamejiunga...

READ MORE

Aziz Ki Akaribia Kujiunga na Wydad ya Morocco?

INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Aziz Ki anasepa mazima...

READ MORE

Majaliwa: Kamilisheni Uchunguzi Wa Wizi Vifaa Vya Hospitali ya Sengerema

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 15 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Mei 25, 2025

Kwa niaba ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA), Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na Wakala wa Mafunzo...

READ MORE

Mawakili wa Lissu Wapinga Ucheleweshwaji wa Upelelezi wa Kesi ya Uhaini – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa Jamhuri kukamilisha haraka upelelezi wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Rais Dkt.Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 19, 2025 amefanya uhamisho na uteuzi wa...

READ MORE

Meridianbet Kasino Fruit Salad 100 Cheza na Ushinde

Ni wakati mwingine tena wa kufahamu kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni iliyopo Merdianbet. Fruit Salad 100 unakupa nafasi ya...

READ MORE

Rais Samia Na Rais Mstaafu Kikwete Wapongezwa Kwa Kufanikisha Ushindi Wa Profesa Janabi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa maono yake ya mbali na uamuzi wa...

READ MORE