×

Katibu wa CCM Iringa Afutwa Kazi kwa Tuhuma za Maadili – Video

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya...

READ MORE

China Yaitaka Marekani Kuheshimu Nchi za Ghuba na Kuondoa Vikwazo Cuba

NEW YORK: China imetumia hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kupinga baadhi ya sera za Marekani kuhusu...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026 Yamalizika kwa Kishindo Mwanza, Mastaa wa Gospel Wakiwasha – Video

MWANZA — Septemba 26, 2026: Uwanja wa Furahisha, Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, ulikuwa kitovu cha ibada na burudani ya...

READ MORE

Mpigie Kura Godmuya, Kura Yako Ni Ushindi! – Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, Godfrey Nathan @godmuya ameteuliwa kuwania tuzo za Samia Kalamu Awards 2026. 👉 Piga kura kupitia:...

READ MORE

Maumivu ya Goti: Sababu Kuu, Dalili na Njia Sahihi za Matibabu

Maumivu ya goti hutoka kwenye kiungo cha goti au tishu laini karibu na goti. Sababu nyingi huchangia maumivu ya magoti,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 27, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Sifa Gospel Fest 2026: Suma Awaunganisha Vijana na Fursa za Maisha – Video

MWANZA — Mratibu Mkuu wa ibada ya kusifu na kuabudu ya Sifa Gospel Fest 2026, Suma Mwaitenda, amewataka vijana kufikiri...

READ MORE

Waandaaji Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva Walipa Faini ya Dudu Baya

Waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva wametangaza kutekeleza adhabu iliyotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),...

READ MORE

Tanzania Yaahidi Kuongeza Juhudi Kutokomeza Sotoka Ifikapo 2040

Tanzania imesema imejizatiti kushiriki kikamilifu katika juhudi za kimataifa za kutokomeza ugonjwa wa Sotoka ifikapo mwaka 2040, kupitia kuimarisha uwekezaji...

READ MORE

Trump Akataa Pendekezo la Iran la Kufungua Mlango wa Hormuz

WASHINGTON: Rais wa Marekani Donald Trump amekataa pendekezo la Iran la kufungua tena Mlango wa Hormuz na kusitisha mapigano yanayoendelea...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaungana na Viongozi Sekta ya Biashara Katika CEO Golf Tournament 2026

Vodacom Tanzania plc imeendelea kutumia mchezo wa golf kama jukwaa la kuunganisha viongozi wa biashara na makampuni, watoa maamuzi na...

READ MORE

Pelican Payday Yachangamsha Meridianbet, Safari Mpya Ya Mizunguko Yaanza

Burudani mpya imefika na safari ya kuelekea kwenye ulimwengu wa mizunguko ya kasino imeanza rasmi. Pelican Payday kutoka Pragmatic Play...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Awasili Qatar kwa Ziara ya Kikazi

DOHA, QATAR: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili nchini Qatar leo, Septemba 25, 2026, kwa...

READ MORE

Leo ni Siku ya Vita Uwanjani: Vigogo wa Ulaya na Afrika Kwenye Kivumbi

Viwanja mbalimbali kuwaka moto leo kuanzia hapa Afrika mpaka Kule Ulaya kuhudia mechi za Kimataifa yaani Afcon na Uefa Nations...

READ MORE

Basata Yatoa Adhabu Kwa Dudubaya na Mratibu wa Tamasha la Miaka 30 Bongo Flava -Video

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa adhabu kwa msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, pamoja na Mratibu Mkuu wa Tamasha...

READ MORE

Wachimbaji Wadogo Geita Watakiwa Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Mvua Kubwa

GEITA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wachimbaji wadogo wa madini...

READ MORE

Benki ya Exim Tanzania Yashiriki CEO Golf Day 2026 Visiwani Zanzibar

Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla...

READ MORE

TASAC Yakanusha Taarifa za Boti Kuzama na Abiria 100+ Ziwa Tanganyika

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Ofisi ya Mkoa wa Kigoma, limekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu...

READ MORE

Rayvanny Kutumbuiza Afro Nation Portugal 2027

    Msanii wa Tanzania, Rayvanny, ametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika tamasha kubwa la Afro Nation Portugal 2027,...

READ MORE

Fahamu Njia Sahihi ya Kupaki Gari la Automatic, Linda Gearbox Yako

Wataalamu wa magari wameeleza kuwa kuna utaratibu muhimu unaoshauriwa kufuatwa wakati wa kupaki gari aina ya automatic ili kulinda mfumo...

READ MORE