×

Mvumbuzi wa Alama za Watu Wenye Ulemavu Aomba Serikali Imsaidie – Video

Mzee Jutoram Kabatele ni Mtanzania aliyebuni alama za barabarani za kuwalinda watu wenye ulemavu. Global TV imefika nyumbani kwake na...

READ MORE

Stanbic Bank Yaanzisha Kampeni ya Salary Switch Kuwazawadia Wateja Fedha Taslimu Na Manufaa Maalum

Benki ya Stanbic Tanzania leo imezindua rasmi kampeni mpya ya Salary Switch, inayolenga kuwazawadia Watanzania waliopo kwenye ajira rasmi kwa...

READ MORE

Uganda Yazindua Ujenzi Wa Ofisi Ya Ubalozi Jijini Dodoma

Serikali ya Jamhuri ya Uganda imezindua mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Ubalozi wake ambao utekelezaji wake umeshaanza...

READ MORE

Moto wa Yanga waendelea Ligi Kuu, Mabao 68, Mzize Aongoza kwa Mabao 13!

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ni moto chini kwenye eneo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 10, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yaandika Historia kwa Kushinda Tuzo Sita Kubwa, Ikiwemo ya “Benki Bora kwa Uendelevu Barani Afrika”

  Benki ya NMB inatangaza mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri...

READ MORE

Papa Leo XIV Aadhimisha Misa ya Kwanza Sistine Chapel

Baada ya kuchaguliwa rasmi na kujitambulisha kwa ulimwengu, Papa Leo XIV leo Mei 9, 2025 ameanza safari yake ya kichungaji...

READ MORE

Rais Samia Kuongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya Jumapili – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan keshokutwa Jumapili anatarajiwa kuwaongoza Watanzania, kuaga kitaifa mwili wa...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya Hayati Cleopa Msuya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 09, 2025 ameongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa...

READ MORE

ODDS KUBWA na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

Wikendi ndio hiyo imefika na kama bado unajiuliza ni wapi unaweza ukapata pesa Ijumaa hii, basi mimi nakwambia chimbo ni...

READ MORE

Simba Bingwa wa Mikwaju ya Penati Ligi Kuu Msimu wa 2024/25

Kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Simba SC ni timu namba moja kufunga mabao mengi...

READ MORE

Rais Daniel Chapo Awasili Zanzibar Kwa Ziara Ya Kikazi

Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara...

READ MORE

Maokoto Mengi Unayapata Sloti ya Deuces Wild

Unapohitaji kuzisaka pesa kwa haraka Zaidi, wewe ingia tu kasino ya mtandaoni ya Meridianbet hili ni chombo la uhakika linalotema...

READ MORE

Tanzania Yajibu Azimio la Bunge la Ulaya Kuhusu Kesi za Kisheria, Yasisitiza Uhuru wa Mahakama

Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu kesi za kisheria...

READ MORE

Tanzania Yadhamiria Kuendelea Mageuzi ya Kidigitali Katika Elimu-Dkt. Biteko

📌 Asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu 📌 Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pongezi kwa Papa Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan jana Mei 8,2025 ametuma salamu za pongezi kwa Papa mpya akimtakia kila laheri. Katika kusara zake...

READ MORE

Mapato Yasiyo ya Kodi Yafikia Asilimia 67, OMH Yadhamiria Kufikia Lengo la Mwaka

Serikali, kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), imeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi, baada...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 9, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya, Anaitwa Robert Francis Prevost

Papa mpya amepatikana na kutangazwa Vatican. Anaitwa Robert Francis Prevost kutoka nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa Mmarekani wa kwanza kushika...

READ MORE

Majaliwa Ahani Msiba Wa Cleopa David Msuya

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 8, 2025 amehani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu...

READ MORE