×

Buchosa Imeitika, Maandamano Ya Kuzipongeza Kazi Za Rais Samia – Video

Tazama nyomi la wananchi wa Buchosa wakiwa na mbunge wao, Eric Shigongo katika Kata ya Nyehunge, ambako amezungumza nao na...

READ MORE

Serikali Yapongezwa kwa Kuboresha Maisha ya Wananchi

Kamati ya kudumu ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamezipongeza Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali...

READ MORE

Shindano la cmsa 2025: Fursa Kwa Wanavyuo Kuwekeza Mitaji

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua shindano la Masoko ya Mitaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na...

READ MORE

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Kuongoza Kongamano la Kwanza la Kodi

WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kwanza la kodi litakalofanyika Mei 8, mwaka...

READ MORE

Nafasi za Kazi 21 MDAs & LGAs Mwisho wa kutuma maombi Mei 11, 2025

  Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali,...

READ MORE

Yanga Yaangukia pua CAS, Kariakoo Derby ipo pale pale

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetupa rufani ya klabu ya Yanga yenye kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 ambayo...

READ MORE

Kwa Nini Wanawake Hawaruhusiwi Kuwa Papa Katika Kanisa Katoliki?

Hadi sasa, kumekuwa na zaidi ya mapapa 250. Walakini, hakuna hata mmoja wao ambaye amekuwa mwanamke. Sio tu kuwa papa,...

READ MORE

Mkurugenzi Zahara Michuzi atunukiwa cheti cha Mfanyakazi Hodari Mei Mosi Maswa

Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, yaliyofanyika katika Uwanja wa Nguzo Nane wilayani Maswa, Mkuu...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Cashier Supermarket, Sales, Secretary Dar

Cashier Supermarket, Shop Sales Mobile Shop, Shop Sales Ice Cream Shop, Loan Sales At Bank, Secretary Nb: Only Female Location:...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 2, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

CCM Yalaani Vikali Shambulio Dhidi ya Katibu Mkuu wa TEC, Padre Kitima

Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...

READ MORE

TEC Yatoa Tamko Kushambuliwa Kwa Padri Charles Kitima

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kufuatia tukio la kushambuliwa na kupigwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la...

READ MORE

Rais Mwinyi: Smz Kuendelea Kuimarisha Maslahi Ya Wafanyakazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za...

READ MORE

Serikali Yaongeza Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Watumishi Wa Umma Kwa Asilimia 35 – Video

Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahra kwa watumishi wa umma kutoka shilingi 370,000 hadi shilingi 500,000, likiwa ni ongezeko...

READ MORE

Russia Yasisitiza Utayari wa Putin kwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine

Rais wa Russia Vladimir Putin yuko tayari kushiriki katika juhudi za kuleta amani nchini Ukraine, na mashauriano ya kina yanaendelea...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani...

READ MORE

JKU vs Yanga Kukiwasha leo Fainali ya Muungano Cup 2025 Gombani

JKU SC vs Yanga SC zinatarajiwa kushuka Uwanja wa Gombani leo Mei Mosi kwenye mchezo wa fainali Muungano Cup 2025....

READ MORE

Chadema Yaitaka Serikali Ichukue Hatua Shambulio Dhidi ya Padre Kitima

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali shambulio dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC),...

READ MORE

ACT Wazalendo Yalaani Shambulio Dhidi ya Padri Dkt. Charles Kitima

Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali shambulio alilofanyiwa Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania...

READ MORE