×

Kutolewa Nusu Fainali: Al Ahly Yaachana na Kocha Marcel Koller

Klabu ya Al Ahly ya Misri imetangaza kuachana na kocha Marcel Koller baada ya kutolewa katika nusu fainali ya Ligi...

READ MORE

Miaka 61 Ya Muungano Dkt. Biteko Ahimiza Viongozi Kuacha Alama

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuishi kwa upendo na kushirikiana kwa maslahi mapana...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Asema Njia Bora ya Kumuenzi Baba Mtakatifu Francisko ni Kudumisha Amani na Kujali Masikini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema namna bora ya kumuenzi aliyekuwa Kiongozi Mkuu...

READ MORE

Makonda Ahidi Kuchukua Hatua Kali kwa Viongozi Wazembe Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema atampiga ‘spana’ kila kiongozi anayezembea jijini Arusha mpaka kazi aliyotumwa ikamilike. Makonda...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NMB Yadhamini Bonanza la Wiki ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi

Katika kuadhimisha Wiki ya Maonesho ya Kitaifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atunuku Nishani Ya Muungano Na Kuzindua Kitabu Cha Mwalimu Nyerere (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu...

READ MORE

Watu 200,000 wahudhuria mazishi ya Papa Francis

Papa Francis amezikwa rasmi katika korido ya upande wa Basilika ya Mtakatifu Maria Mkuu, kati ya Kanisa Kuu la Pauline,...

READ MORE

Ushindi Rahisi na Kasino ya Roulette| Cheza UweTajiri

Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifikakwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa...

READ MORE

Majaliwa: Taifa Limepata Mafanikio Makubwa Miaka 61 Ya Muungano

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika...

READ MORE

Mazishi ya Papa Francis Kufanyika Leo Vatican kwa Heshima Kubwa – Video

Ibada ya mazishi ya Papa Francis inafanyika leo Jumamosi katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Vatican, ambapo mamia kwa maelfu...

READ MORE

RC Halima Dendego Atoa Pongezi kwa Kuzingatia Usawa wa Kijinsia

Mkuu wa Mkoa wa Singida( RC) Mheshimiwa Halima Dendego ameisifu kampuni ya kuchimba dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

READ MORE

Serikali Ya Tanzania Yaondoa Zuio La Biashara Ya Mazao Na Malawi Pamoja Na Afrika Kusini

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kuondoa rasmi zuio la muda la biashara na usafirishaji wa mazao ya...

READ MORE

Chimbo Jipya la Hela ni 420 Blaze It Kasino

Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet...

READ MORE

Camerlengo Farrell Aongoza Ibada Ya Kufunika Mwili Wa Papa Francisko, Kuzikwa Leo -Live Update Video

Aprili 25, 2025 Camerlengo, Kardinali Kevin Joseph Farrell, Askofu Mkuu Diego Ravelli waliongoza Ibada ya kufunika mwili wa Baba Mtakatifu...

READ MORE

Balozi Nchimbi Apiga Marufuku Wimbo Unaochochea Chuki Dhidi Ya Wapinzani

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya...

READ MORE

Rais Samia: Falsafa ya 4R Si Kisingizio cha Kuvunja Sheria – Video

Akihutubia Taifa, Rais Samia Suluhu amesema Kamwe falsafa ya 4R haiwezi kuwa kisingizio cha kuvunja Sheria au cha kujenga mazingira...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Watanzania na Wanajumuiya ya Afrika Mashariki Wahimizwa Kudumisha Amani

Dar es Salaam 24 Aprili 2025: Watanzania na Wanajumuiya ya Afrika Mashariki wametakiwa kuendelea kudumisha amani na hasa kipindi hiki...

READ MORE

Rais Dkt Samia Ahutubia Taifa Kuelekea Miaka 61 Ya Muungano – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Taifa Kuelekea Miaka 61 ya Muungano Ikulu Chamwino-Dodoma,...

READ MORE