×

Serikali ya Burkina Faso Yazima Njama ya Mapinduzi Dhidi ya Kapteni Traoré

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema kuwa imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa jeshi, Kapteni Ibrahim Traoré, ambapo...

READ MORE

Kasino Yenye Hadithi za Kale Unaipata Meridianbet

Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za...

READ MORE

Bibi wa Miaka 60 Ajifungua Baada ya Kuitwa Aliyelaaniwa

Katikati ya mji wa Pwani kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza wenyeji wa eneo...

READ MORE

Fahamu Mchakato Wa Kumchagua Papa Mpya Katika Kanisa Katoliki

Mchakato wa kumchagua Papa mpya, ni mchakato wenye muundo wa hali ya juu na wa siri unaofanywa na Baraza la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 22, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

CHADEMA Yamlilia Papa, Yamsifu kwa Kusimamia Haki na Utu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Baba Mtakatifu Francisko kilichotokea leo Aprili 21,...

READ MORE

Chama cha Kabila chasimamishwa DRC baada ya mali zake kuvamiwa

Serikali ya Jamhuru ya kidemokrasia ya Congo, DRC, imesema imesimamisha chama cha Rais wa zamani Joseph Kabila, siku chache baada...

READ MORE

Nguvu za mungu wa Kigiriki Zeus Unazipata Meridianbet Kasino

Kabla sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Baba Mtakatifu Francisko

Rais Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi wengine duniani kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi wa Kanisa katoliki...

READ MORE

Papa Francis Afariki dunia Akiwa na Umri wa Miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa...

READ MORE

Mama wa Kizungu Amlilia Rais Samia Adai Kunyanyaswa Kesi Yakwama Polisi Miezi 6 Bila Hatua- Video

Muwekezaji kutoka Ulaya, Siriviea Vrascam, amefichua hali ya kusikitisha aliyoipitia baada ya kudai kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na mwanaume aliyejitambulisha...

READ MORE

Meridianbet Yaja Kivingine, Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25 Kila Wiki!

Kampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, kwa mara nyingine inazidi kuwapendezesha wateja wake kwa promosheni mpya inayobeba furaha,...

READ MORE

Mtoto Miaka 3 Wa Askari Magereza Afariki Dunia Kwa Kusombwa Na Maji Mtoni – Video

Mtoto wa kiume, Samiu Salim, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, amefariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Waziri Gwajima Akerwa na Udhalilishaji wa Mabinti Chuoni, Achukua Hatua

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa juu ya kitendo cha mabinti...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ngara, Mwisho wa Maombi Aprili 24

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa...

READ MORE

Global Group Tuwatakia waumini wa dini ya Kikristo Pasaka Njema

Uongozi na wafanyakazi wa Global Group, wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Pasaka Njema. Tufuatilie kupitia YouTube ya Global...

READ MORE

Mechi ya Kihistoria: Simba na Stellenbosch Vita Ya Fainali

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwakaribisha wageni kutoka Afrika Kusini, Stellenbosch FC, katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, leo majira ya...

READ MORE

Wananchi Ludewa Watakiwa Kuwa Mabalozi Katika Uhifadhi wa Misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka wananchi Ludewa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE