×

Zaidi Ya Wanachama 50 Wa ACT Wazalendo Lindi Watimkia CCM, Wafichua Sababu Nzito

  Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na chama Cha mapinduzi ( CCM) Wanachama hao...

READ MORE

JWTZ na Jeshi la India Wazindua Mazoezi ya Pamoja Washirikisha Nchi Rafiki 9

Dar es Salaam, 13 Aprili 2025: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb)...

READ MORE

Rais wa TLS, Mwabukusi Aipinga Tafsiri ya NEC Kuhusu Maadili ya Uchaguzi

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume...

READ MORE

Makalla: Timu ya Namungo Imechangia Kukuza Uchumi na Utalii wa Michezo Ruangwa

• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni •Aoongeza jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa...

READ MORE

Meja Kunta Afiwa na mama yake mzazi, Kuzikwa Kesho Yombo Dovya

Msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, amepata pigo baada ya kuondokewa na mama yake mzazi, Mosi Mkalawile....

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko kufuatia...

READ MORE

Mechi Kali Leo! Bashiri na Meridianbet Upige Mkwanja

Ni Jumapili nzuri kabisa ambayo imekuja na neema kubwa, unajua kwanini?. Ni kwasababu wakali wa ubashiri Meridianbet wamekuletea ODDS za...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia Kwa Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamohanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya...

READ MORE

Trump Aondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki

Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki –...

READ MORE

Kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Atoa Wito Kwa Wananchi Kutunza Miundombinu Ya Maji

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro na...

READ MORE

Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri

Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10...

READ MORE

Ukiwa Kwenye Ndoa, Mazoea Na Watu Wa Nje Ni Sumu Hatari

“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...

READ MORE

Chadema Kushindwa Kusaini Makubaliano ya Kanuni za Uchaguzi, Wanachama Wakaribishwa Kuchagua CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 13, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Chadema Yataja Sababu ya Kukataa Kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Bi. Brenda Rupia ameeleza kuwa msimamo wa Chadema...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB kwa Kampeni Bora ya Upandaji Miti Nchini

  SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika...

READ MORE

INEC: Chadema Haitashiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 Wala Chaguzi Ndogo Kwa Miaka Mitano

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Inter, Bayern, Barca na City Wote Dimba Leo – Weka Beti Yako na Meridianbet Ushinde Zaidi!

Inter, Bayern, Barcelona, Man City wote wapo dimbani kuhakikisha hutoki patupu leo. Je beti yako unaiweka wapi leo kwa hizi...

READ MORE

Singida Black Stars Yamtangaza Mtendaji (CEO) Mpya

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua rasmi Omari Kaya kuwa Katibu Mkuu Mtendaji (CEO) wa klabu hiyo akichukua nafasi...

READ MORE

Chadema Yapinga Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Mnyika Afunguka!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao...

READ MORE