×

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia Kwa Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamohanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya...

READ MORE

Trump Aondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki

Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki –...

READ MORE

Kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Atoa Wito Kwa Wananchi Kutunza Miundombinu Ya Maji

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro na...

READ MORE

Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri

Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10...

READ MORE

Ukiwa Kwenye Ndoa, Mazoea Na Watu Wa Nje Ni Sumu Hatari

“MIMI nipo kwenye ndoa, huu ni mwaka wa tatu sasa. Tatizo lililonifanya niombe ushauri, mume wangu ana kawaida ya kuwa...

READ MORE

Chadema Kushindwa Kusaini Makubaliano ya Kanuni za Uchaguzi, Wanachama Wakaribishwa Kuchagua CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 13, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Chadema Yataja Sababu ya Kukataa Kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Bi. Brenda Rupia ameeleza kuwa msimamo wa Chadema...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB kwa Kampeni Bora ya Upandaji Miti Nchini

  SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika...

READ MORE

INEC: Chadema Haitashiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 Wala Chaguzi Ndogo Kwa Miaka Mitano

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Inter, Bayern, Barca na City Wote Dimba Leo – Weka Beti Yako na Meridianbet Ushinde Zaidi!

Inter, Bayern, Barcelona, Man City wote wapo dimbani kuhakikisha hutoki patupu leo. Je beti yako unaiweka wapi leo kwa hizi...

READ MORE

Singida Black Stars Yamtangaza Mtendaji (CEO) Mpya

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua rasmi Omari Kaya kuwa Katibu Mkuu Mtendaji (CEO) wa klabu hiyo akichukua nafasi...

READ MORE

Chadema Yapinga Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Mnyika Afunguka!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao...

READ MORE

Kifo Cha Majembe Chazua Taharuki, Familia Yakataa Mazishi – Video

Familia ya kijana Raphael Majembe ya Tabata Shule jijini Dar es Salaam, imegoma kuchukua mwili wa kijana wao mochwari kwa...

READ MORE

Mohamed Salah Asaini Mkataba Mpya Liverpool Hadi 2027

Mohamed Salah asaini kandarasi mpya na Liverpool hadi mwaka 2027, hii ni baada ya miezi mingi ya uvumi kuhusu hatima...

READ MORE

Wakandarasi 457 Wa Ujenzi Wa Barabara Walipwa, Wengine 322 Kulipwa

Serikali imelipa madeni ya wakandarasi 457 wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara waliokuwa wakidai baada ya kutekeleza mikataba...

READ MORE

Kikwete atembelea makazi ya Mfalme Haile Selassie mjini Addis Ababa

ADDIS ABABA-Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametembea Qasir la Taifa la Ethiopia ambalo lilikuwa makazi ya Mfalme Haile...

READ MORE

Makalla Avalia Njuga Changamoto za Barabara, Wanyamapori na Umeme Liwale

LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema katika...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 12, 2025

  Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote...

READ MORE

Bosi Wa CRDB Bank Foundation Ang’ara Tuzo Nigeria

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi anayeongoza kwa uwezeshaji Barani Afrika katika hafla ya tuzo...

READ MORE