×

Maonesho ya Wadau wa Afya ya Kinywa na Meno Kufanyika Nchini

Dar es Salaam, Aprili 2025: Maonesho ya kwanza ya wadau wa huduma za afya ya kinywa na meno Tanzania (Tanzania...

READ MORE

Suluhisho Bunifu za Tabianchi Zatangazwa StartUp Nne Zashinda

Dar es Salaam, Tanzania – 3 Aprili 2025 – Climate-KIC, kwa kushirikiana na SmartLab, inayo furaha kutangaza washindi wa Programu...

READ MORE

Video: Vipimo Vya Dna Vyatoka Aliyelia Kubadilishiwa Mtoto Arusha -Mtoto Anayemkataa Ni Wake 99%

Sakata la mwanamke Neema Kilugala, kudai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya kujifungua, limechukua sura mpya baada ya...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Taifa Yashirikiana na Selcom Kurahisisha Upatikanaji wa Michezo ya Kubahatisha

Dar es Salaam, 3 Aprili 2025. Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania, leo imetangaza rasmi ushirikiano na mtoa huduma kinara...

READ MORE

Watu Saba Wafariki, 32 Wajeruhiwa Baada ya Basi Kupinduka Mwanga – Video

Watu Saba wamefariki dunia papo hapo huku wengine 32 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mvungi, walilokuwa wakisafiria kupinduka...

READ MORE

Chadema Yamtengua Katibu Wa Sekretariet Kisa No Reform, No Election

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Mnyika jana Aprili 2, 2025 ametangaza kutengua uteuzi wa Julius...

READ MORE

Trump Atangaza vita vipya Mpya dhidi ya bidhaa zinazoingia Marekani

Baada ya miezi miwili ya maandalizi, Rais wa Marekani Donald Trump ameanzisha vita vipya vya kibiashara, akitangaza hatua kali za...

READ MORE

Huu Hapa Mchezo wa Blackjack 2 Ushindi kwa Karata 52!!

Blackjack ni mchezo wa kadi/karata wenye kuvutia sana, na mtoa huduma Playtech anatuletea blackjack Live ya PTR Blackjack 2 kupitia...

READ MORE

Ali Kamwe Akamatwa Na Polisi Tabora, Atupwa Selo, Kauli Yake Iliyomponza Ni Hii Hapa – Video

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amekamatwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za kutoa lugha chafu...

READ MORE

Makubaliano ya TUCASA na PUM Kusaidia Ufanisi wa Miradi ya Ujenzi

Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Makandarasi na watoa Huduma shirikishi (TUCASA), Qs Samuel Marwa kushoto akizungumza na waandishi wa...

READ MORE

Benki ya Exim Yaboresha Uchukuaji Mikopo kwa Watumishi wa Umma Kupitia ‘Utumishi Portal’

Katika hatua ya kimkakati kusaidia wafanyakazi wa serikali kufikia malengo yao ya kifedha, benki ya Exim Tanzania inajivunia kutangaza maboresho...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yajitolea Kusaidia Kukuza Biashara na Ushirikiano wa Kikanda Kwenye Mkutano wa EACCS

Kadiri Afrika Mashariki inavyozidi kukua kibiashara, Tanzania inaendelea kujizatiti kama kitovu cha uchukuzi wa shehena na biashara, ikichangia kwa kiasi...

READ MORE

Dereva Wa Lori La Mafuta Amuibia Bosi Wake Akidanganya Amepata Ajali -Video

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia dereva aliyefahamika kwa jina la Ernest Okulo (40), mkazi wa Chanika, Dar es Salaam...

READ MORE

TRA Kutangaza matokeo ya Usaili wa Maandishi Aprili 25 Kupitia Tovuti yao

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa...

READ MORE

Ni Vigumu Kumuacha Umpendaye Lakini Ikibidi, Muache!

PENZI linapoota mizizi, ni vigumu kulivunja. Kila mmoja anafikiria mahali walipotoka, anaumizwa na upendo aliouwekeza. Hakubaliani hata kidogo na sababu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 3, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Yanga Yaifunga Kibabe Tabora United Nyumbani Kwao

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamevuna pointi tatu ugenini kwenye mchezo...

READ MORE

TAMISEMI Yatoa mwezi mmoja kwa Wahitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi...

READ MORE

Yanga Yailowesha Tabora United Mabao 3 – 0

Dakika 90 zimemalizika katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Yanga wameilowesha Tabora United kwa jumla ya mabao...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE